Video: Bernard Membe akutana na kuteta na Baba Askofu Ruwai'ch

Video: Bernard Membe akutana na kuteta na Baba Askofu Ruwai'ch

Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena.

Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo.

Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
 
Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena. Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo. Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Kila nikiona mtu wa upinzani akimshabikia Membe hua naona lile somo la Lowassa halikutuingia vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu , natanguliza salamu za sikukuu , bila shaka mnasherekea kwa amani , hata hivyo pamoja na kusherehekea nimeona nisiwaache hivi hivi tu .
Hivi kwa mfano hapa ni kipi cha ajabu?

Membe ni CCM, na wewe ni mpinzani, unachoshangilia hapo ni kipi?

Kwamba atakuwa anateta juu ya kuitoa ccm madarakani?
Vituko vya watu wa upinzani bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena. Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo. Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Nimeileta kimkakati tu , wala si lengo langu kumpeleka Membe Chadema
 
Hatari huioni? Mrithi wa Pengo anamchekea mbaya wa rafiki wa Pengo!
Hiyo clip lazima ipelekwe kule mapumzikoni ili ionwe na kujadili LA kufanya.
Nasikia hata yule aliyetekwa na kupatikana kesho yake Buguruni kaulizwa mawasiliano yake na jasusi.
Lakini pia mawasiliano yake na Msekwa na Msuya!
Chungu cha Lumumba kweli kinatokota, hakuna kuaminiana na watachapana sasa hivi. Wazee wote hawaaminiki sasa labda Mwinyi tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa mfano hapa ni kipi cha ajabu?

Membe ni ccm, na wewe ni mpinzani, unachoshangilia hapo ni kipi?

Kwamba atakuwa anateta juu ya kuitoa ccm madarakani?
Vituko vya watu wa upinzani bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
unadhani kwanini Ngetti ametekwa mara 4 , kwani si ccm yule ?
 
Back
Top Bottom