Video: Bernard Membe akutana na kuteta na Baba Askofu Ruwai'ch

Video: Bernard Membe akutana na kuteta na Baba Askofu Ruwai'ch

Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena. Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo. Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Kuwa na imani na watanzania, usiogope sana. Hakuna chama kinachokiliki watu , vyote vinatafuta wanachama humu humu miongoni mwetu.

Mbona wao wanawachukua wa CHADEMA na kuwapa uongozi?! Iweje wewe ukatae wanaotoka ccm wasipewe uongozi?!

Kwenye siasa hakuna chama kina import wanachama kutoka nje ya nchi, lila chama kina kutumia waliomo humu nchini.

Inawezekana jana walikuwa CUF leo wamekuwa ACTwazalendo , hivyo aliyokuwa CCM akija CHADEMA usiogope na usimuogope, unapaswa uwa include ili nao wajisikie wako huru, lakini ukiwa suspicion kwa kila mwanachama hutoendelea, mtabaki kuwa wale wale kika siku na mwisho mtapukutika na kupotea.

Lazima ukubali kuingiza wanachama wapya na ukaamini. Lakini unataka wale wale kila siku, cha kushangaza Mbowe akigombea uwenyekiti wapo wanaolalamika, sasa hamuamini wenzenu mtapataje mawazo tofauti?! Maana ni wao hao hao kila siku hamtaki wengine waingie na wakionyesha nia unawaona ni mamluki, mtabaki peke yenu na mwisho CHADEMA itakufa.
 
Hivi Ruwaich ndio yule alipoumwa kule Kcmc Magu aliagiza ndege ikamchukue haraka haraka kumleta Muhimbili sio?
Hatari huioni? Mrithi wa Pengo anamchekea mbaya wa rafiki wa Pengo!
Hiyo clip lazima ipelekwe kule mapumzikoni ili ionwe na kujadili LA kufanya.
Nasikia hata yule aliyetekwa na kupatikana kesho yake Buguruni kaulizwa mawasiliano yake na jasusi.
Lakini pia mawasiliano yake na Msekwa na Msuya!
Chungu cha Lumumba kweli kinatokota, hakuna kuaminiana na watachapana sasa hivi. Wazee wote hawaaminiki sasa labda Mwinyi tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise nyie mbona hamjifunzi kutokana na makosa! Lowasa, Sumaye na wengine hivi bado mnamshangilia Membe? Amekupeni nini huyu mtu? Inamaana chadema hawajaandaa mtu wa kusimama mpaka kila siku Membe?
Aise mpaka inakera?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikiona mtu wa upinzani akimshabikia Membe hua naona lile somo la Lowassa halikutuingia vzr.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mmekuwa waoga hivyo?! Nani atagombea CHADEMA kama hamtaki kukaribisha wanachama wapya?!
Mbona ACT wamewapokea waliokuwa CUF, nyie hamtaki yeyote kisa Lowassa alirudi ccm?!
 
Nyie ACT mchukueni maana hamjawahi kupata dhoruba yoyote ya maana na bado mnatafuta wanachama wapya,tumewaachieni Membe na wafuasi wake.
Mbona mmekuwa waoga hivyo?! Nani atagombea CHADEMA kama hamtaki kukaribisha wanachama wapya?!
Mbona ACT wamewapokea waliokuwa CUF, nyie hamtaki yeyote kisa Lowassa alirudi ccm?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2020 ni Lissu Vs Magufuli na Lissu anashinda Magufuli anatangazwa kwa nguvu mataifa ya nje yanaingilia kati na jeshi linamtemesha tonge.

Sipati picha furaha nitakayokuwa kuwa nayo pindi hilo likitokea. Lakini mahakama ndio zitatumika kumfunga Lissu ili kumnyima haki ya kugombea urais. Nadhani umeona hakimu mwenye kesi yake anavyolazimisha Lissu arudi, lengo lake ni kumfunga ili kumnyima haki ya kugombea urais. Ndio maana napendekeza kuanzia mwezi wa tatu mwakani wapinzani watangaze maandamano ya kila jumamosi ya mwanzo au mwisho wa mwezi kudai tume huru ya uchaguzi. Wananchi na makundi yote yameshajiridhisha kwamba hakuna uchaguzi tena kwa mwenendo ulivyo hapa nchini.

Hivyo wapinzani wakianza kuutia najisi huo uchaguzi mapema itaamsha public awareness, ikifika wakati wa uchaguzi joto litakuwa limepanda kitaifa na kimataifa, katika mazingira hayo lazima mabadiliko yatapatikana tu. Mahali pazuri pale kuanzia ni bunge la januari wapinzani kwenda na ajenda binafsi kudai tume huru ya uchaguzi. Wakikubali ijadiliwe kila kitu kiwekwe vizuri, wakigoma kuanzia hiyo machi watangaze maandamano.
 
Hakika
Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena. Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo. Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mmekuwa waoga hivyo?! Nani atagombea CHADEMA kama hamtaki kukaribisha wanachama wapya?!
Mbona ACT wamewapokea waliokuwa CUF, nyie hamtaki yeyote kisa Lowassa alirudi ccm?!

Acha upotoshaji, hatukatai wanachama wapya, ila sio wanachama wanaokuja miezi michache kabla ya uchaguzi kukitumia chama ili kupata madaraka, kisha wakiyakosa wanarudi ccm na lugha za kuanza kukichafua chama. Kama anataka kujiunga na chama anaruhusiwa hata jioni hii, lakini suala la kugombea nafasi yoyote isipungue miaka minne. Anaweza kwenda vyama vidogo akapate nafasi ya kugombea maana huko ndio kuna uhaba wa viongozi, sio asubiri watu wasafishe shamba, kupanda mpaka kuvuna, kisha yeye atokee wakati wa kuuza halafu alazimishe kukamata mfuko wa hela. Enough is enough.
 
Wanafiki mlikuwepo hata kabla ya ujio wa kristo

Back
Top Bottom