Video: Bernard Membe akutana na kuteta na Baba Askofu Ruwai'ch

Video: Bernard Membe akutana na kuteta na Baba Askofu Ruwai'ch

Huyu jamaa ndio anamfanya jiwe aanguke kwakihoro na kadri siku zinavyoenda ndio anazidi kumwongezea ugonjwa
Kama Lowassa alishindwa, Membe atawezaje? Ukilijibu hili then you can keep on dreaming!
 
Nanye Go,

Mkuu naheshimu maoni yako, lakini ni hivi, cdm ilishajionea hizo taka ngumu toka ccm zinavyoleta kiburi na kuwa kigeugeu. Mfano halisi ilikuwa Shibuda, 2010 alikuja kwa mwendo wa vodafasta, alichowafanyia cdm muda wote wa ubunge wake kila mtu aliona, na tukajiapiza kuwa taka ngumu toka ccm ni mwiko. Cha ajabu uchaguzi wa 2015 ndio tukafanya kosa la karne kubeba taka ngumu siku za mwisho toka ccm, matokeo yake kila mtu kayaona, 95% ya waliorudi ccm kuunga mkono juhudi ni hao hao waliokuja cdm kwa mtindo wa mwendokasi. Sasa hapo kuendelea kuwaamini watu wa namna hiyo si wendawazimu ni nini? Kama wanataka wawe wanachama wa kawaida na kuwabebea mabegi na laptop viongozi wa cdm halisi na sio kinyume chake.

Kuhusu hoja yako kuwa mbona wao wanawachukua cdm kisha wanawapa vyeo, kumbuka lengo lako ni kuia cdm, na wanatumia hiyo mbinu huku wakiwahonga vyeo ili wapate uungwaji mkono wa mashabiki na wanachama wa cdm, ambao wengi ni vijana. Hata hivyo umeona hao waliowachagua huko ccm wakirudi cdm? au kuikosoa hiyo ccm kwa lengo la kuchafua haiba ya ccm? Sana sana tunawaona wakiimba mapambio, je unaweza kufananisha lugha za kina Sumaye, na wale wengine wote waliorudi ccm dhidi ya cdm? Kwa taarifa yako huu ushauri wako sio kwa manufaa ya cdm, bali kufurahisha genge fulani, ni heri cdm ife kuliko kufuata huu ushauri wako mfu, ambao tayari umeshawaumiza na mifano halisi ipo.
 
Dai LA Katiba naTume Huru ya Uchaguzi halikwepeki na tuanzeni sasa kabla hatujakawia zaidi.Hawa jamaa zetu hawana nia ya kutenda hali,tukisusa wanakula na kugonga cheers!
Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena. Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo. Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
 
Dai LA Katiba naTume Huru ya Uchaguzi halikwepeki na tuanzeni sasa kabla hatujakawia zaidi.Hawa jamaa zetu hawana nia ya kutenda hali,tukisusa wanakula na kugonga cheers!

Hawa viongozi wa upinzani bila kuwaamsha sasa watarembaremba kisha mwezi kwa tisa huu ndio wanaanza hadithi. Mwaka wote ujao kabla ya uchaguzi, ajenda iwe hiyo hiyo ya tume huru uchaguzi na katiba mpya. Kupitia mashinikizo tu ndio tutatoka hapa. Hata JK alikubali kuwa na mchakato wa katiba mpya baada ya mashinikizo, sio kwamba alikubali kwa kupenda au kuombwa maridhiano.
 
tindo,
Sasa ni wakati gani mwanachama mpya anaaminiwa na kupewa uongozi CHADEMA?! Na anapimwa vipi kwamba hatorejea CCM au ACT?!
 
Hawa viongozi wa upinzani bila kuwaamsha sasa watarembaremba kisha mwezi kwa tisa huu ndio wanaanza hadithi. Mwaka wote ujao kabla ya uchaguzi, ajenda iwe hiyo hiyo ya tume huru uchaguzi na katiba mpya. Kupitia mashinikizo tu ndio tutatoka hapa. Hata JK alikubali kuwa na mchakato wa katiba mpya baada ya mashinikizo, sio kwamba alikubali kwa kupenda au kuombwa maridhiano.
Kwa ujumla upinzani umeshakata tamaa! Dalili zinaonyesha kabisa. Ukiona wanavyomshabikia Membe unajua kabisa wako kwenye panic attack na wako tayari kushika chochote kilicho mbele yao! Hawana plan, hawana strategy, wapo kusubiri muujiza ambao hautatokea.
 
Mwenye strategy ni aliyesema nikulipe house allowance,dereva na bado umtangaze mbunge wa upinzani hiiiiiii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa ujumla upinzani umeshakata tamaa! Dalili zinaonyesha kabisa. Ukiona wanavyomshabikia Membe unajua kabisa wako kwenye panic attack na wako tayari kushika chochote kilicho mbele yao! Hawana plan, hawana strategy, wapo kusubiri muujiza ambao hautatokea.
Uongo utakusaidia nini ?
 
Back
Top Bottom