unadhani kwanini Ngetti ametekwa mara 4 , kwani si ccm yule ?
Siku hizi neno ''kutekwa''' ni fasheni....Mtu unaweza kuamua kwenda mahali labda ''grocery'' ya mafichoni kwa siku mbili ..na baadaye ukatangaza ulitekwa au ukawaambia washikaji wasambaze taarifa za "kutekwa"" kwako..