Video: Bernard Membe akutana na kuteta na Baba Askofu Ruwai'ch

Dah! Kutekwa akili ni kubaya Sana,unabusu pete ya mwanaume mwenzio tena kwa kupiga magoti hiyo ni dalili njema ya wale jamaa
 
Kalamu1,

Post namba 72 nimejibu hili dukuduku lako. Nina ufahamu wa kutosha kwenye hili, hata kama tunatofautiana hapa na pale, lakini ndio afya ya mijadala.
 
Hivi kwa mfano hapa ni kipi cha ajabu?

Membe ni ccm, na wewe ni mpinzani, unachoshangilia hapo ni kipi?

Kwamba atakuwa anateta juu ya kuitoa ccm madarakani?
Vituko vya watu wa upinzani bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyo Erythrocyte ni shida ni zaidi ya nyumb! Hata hajitambui anataka nini hata uelekeo wake hajui anaenda wapi!!
 
Yaani mzee msuya,msekwa hawaaminiki kwa jiwe?yaani jiwe anamwamini makonda,mkapa,pole pole na bashiru na mwinyi tu?SIKUMUONA KIKWETE MWANZA KWENYE SHEREHE ZA UHURU!JE NAE JIWE HAMWAMINI TENA????hv ndo viwanda sasa!!!
 
Askofu amenyoa zile nywele zake na amebadilika
 
Akigombea huko ccm sawa, nitamuunga mkono awe mgombea wa ccm ili kutuondolea hili janga lililopo, lakini sio kuwa rais, maana tatizo la ccm litaendelea kuwepo.
"Tatizo la CCM kuendelea kuwepo" unakulinganisha/fananisha na uwepo wa anayeiendesha sasa hivi? Kweli?
 
Ielewe post yangu, Membe akichaguliwa kuwa mgombea wa ccm, automatically hili tatizo la sasa litaondoka, lakini akishinda urais bado jinamizi liitwalo ccm litaendelea kuwepo.
 
Ni heri kuishi ndani ya "jinamizi CCM" kuliko kuishi katika hili lililopo sana. Maana hilo 'jinamizi' angalao linakupa matumaini kwamba ukiweka juhudi zaidi kuna uwezekano wa kuliondoa hilo 'jinamizi' kablaya kuiondoa roho yako kabisa.

Mimi naiona tofauti hiyo mhimu kabisa.
 
Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena.

Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo.

Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Membe will never become a moral or political solution to Tanzania.
 
Ni heri kuishi ndani ya "jinamizi CCM" kuliko kuishi katika hili lililopo sana. Maana hilo 'jinamizi' angalao linakupa matumaini kwamba ukiweka juhudi zaidi kuna uwezekano wa kuliondoa hilo 'jinamizi' kablaya kuiondoa roho yako kabisa.

Mimi naiona tofauti hiyo mhimu kabisa.

Naheshimu maoni yako.
 
Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena.

Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo.

Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
anaweza kutokeza kama yohana mbatizaji ili kutengeneza njia,bila hata yeye kujua mpango wa Mungu
 
Nimeileta kimkakati tu , wala si lengo langu kumpeleka Membe Chadema
Umeisha wavuruga kisaikolojia,
Leo lazima wakeshe kwenye vikao wakijadili hili tukio,

Tulituma ndege, ikamchukue kcmc tulienda kumjulia hali hospital iweje Leo yuko na mgombea ccm2020 mtarajiwa? wanateta nini?
 
Mkuu tuachane na huyo Membe tumeshaumwa na nyoka Lowassa, hakuna mwanaccm anayetufaa tena.

Ni juu yetu kuanza kudai Tume huru ya uchaguzi na tuhakikishe tunaonyesha kuwa hakuna uchaguzi chini ya tume iliyopo.

Wananchi wameshaelewa, ni juu ya wapinzani kusukuma tu hiyo ajenda. Lissu kaonyesha njia jana.
Membe 2020 chadema anatosha wewe...
 
Back
Top Bottom