mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Dec 26, 2019 #121 Baada ya ile inshu ya hela za matibabu mzee Kitine hua hataki kabisa kulisikia jina la Membe. Renegade said: Nafikiri amebobea baada ya kushindwa,Membe hana lolote zaidi ya kuwa Snitch, Alimfanyia usnitch Boss wake Mzee Kitine. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya ile inshu ya hela za matibabu mzee Kitine hua hataki kabisa kulisikia jina la Membe. Renegade said: Nafikiri amebobea baada ya kushindwa,Membe hana lolote zaidi ya kuwa Snitch, Alimfanyia usnitch Boss wake Mzee Kitine. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Kabulala JF-Expert Member Joined Oct 13, 2019 Posts 695 Reaction score 936 Dec 26, 2019 #122 Erythrocyte said: Wakuu, natanguliza salamu za sikukuu, bila shaka mnasherekea kwa amani, hata hivyo pamoja na kusherehekea nimeona nisiwaache hivi hivi tu. View attachment 1303247 Click to expand... That is what we call photo opportunities..5seconds for Membe, 10 seconds for the other guy....but we call it a meeting to spice up the all thing.
Erythrocyte said: Wakuu, natanguliza salamu za sikukuu, bila shaka mnasherekea kwa amani, hata hivyo pamoja na kusherehekea nimeona nisiwaache hivi hivi tu. View attachment 1303247 Click to expand... That is what we call photo opportunities..5seconds for Membe, 10 seconds for the other guy....but we call it a meeting to spice up the all thing.
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Dec 26, 2019 #123 Wakudadavuwa said: Kwa hiyo mnataka Membe awe mbadala wa Lowassa 2020?kweli tabia ni kama ngozi! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtajiana wenyewe huko! Sii mmeona hata mtu wenu Sumaye tumewarudishia? Sent using Jamii Forums mobile app
Wakudadavuwa said: Kwa hiyo mnataka Membe awe mbadala wa Lowassa 2020?kweli tabia ni kama ngozi! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mtajiana wenyewe huko! Sii mmeona hata mtu wenu Sumaye tumewarudishia? Sent using Jamii Forums mobile app
dogo kubwa JF-Expert Member Joined May 21, 2016 Posts 798 Reaction score 695 Dec 27, 2019 #124 Basi sawa Sent using Jamii Forums mobile app