sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
State of the union ni hotuba yenye uzito mkubw ambayo hutolewa na raisi wa marekani mara moja kwa mwaka kuhusu ya hali ya kitaifa.
Jana yalitokea mambo ya kushangaza kwenye hii hotuba, Joe Biden ana ugonjwa wa akili wa "Dimentia" anaouficha ila huwa unamuumbua mara kwa mara hadharani, hapo jana wakati akitoa hotuba, akili yake ilidhani kwamba vita ipo Iran badala ya Ukrane lakini bado hata baada ya kusema hivyo hakuweza kutambua kama kuna kosa lolote maana kwa ugonjwa alionao hata anachoongea huwa anasahau, afya yake dhaifu ni kikwazo kikubwa sana katika uongozi wa marekani.
Media uchwara kama Cnn na Bbc zipo kimya kuhusu hili jambo, ila angekuwa ni Trump basi leo pangewaka moto ingekua ndio habari ya wiki nzima, wange push kabisa awe impeached kwa madai ya sababu za afya ya akili. Ila kwa sababu ni Biden ambae katokea chama cha Democrats wameamua kutulia.