Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kijana aliyefahamika kwa jina la Mussa Ally mkazi wa Sahare, Jijini Tanga amemtuhumu Bondia wa Ngumi nchini, Hassan Mwakinyo Kumshambulia kwa kisu, na kumfungulia mbwa wanne Majira ya saa 12 Alfajiri alipokuwa akiokota nazi zilizokuwepo barabarani katika mtaa wa Sahare Vijijini
Soma Pia: Mwakinyo anashikiliwa na jeshi la Polisi tangu jana Alhamis 6 March, 2025
Akiongea kwa Maumivu ya Majeraha hayo akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo, Mussa amesema aliamka asubuhi kwa ajili ya kwenda kwenye shughuli zake za kila siku, na alipokuwa njiani alikutana na nazi ambazo akaanza kuziokota.