Kwa hiyo kuibiwa Nazi tu ndio anataka kuua? Tena dogo mwenyewe hana hata silaha yoyote hatarishi?Mwakinyo ana nazi ambazo dogo alikuwa anaziiba.
Mwambieni huyo bondia wenu aliyeshindwa kwa hili ndio amejutoa rasimi kwenye ramani ya professional boxing, hakunq kampuni yq maana itakayofanya nae kazi kwanzia sasa hata endorsement deals hawezi kupata,