Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga

Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga

Mwakinyo ana nazi ambazo dogo alikuwa anaziiba.
Kwa hiyo kuibiwa Nazi tu ndio anataka kuua? Tena dogo mwenyewe hana hata silaha yoyote hatarishi?

Mwambieni huyo bondia wenu aliyeshindwa kwa hili ndio amejutoa rasimi kwenye ramani ya professional boxing, hakunq kampuni yq maana itakayofanya nae kazi kwanzia sasa hata endorsement deals hawezi kupata,
 
Jambo baya sana limetokea Tanga. Huyu kijana alikuwa ameenda kuona nazi nyumbani kwa Mwakinyo,akavuliwa nguo akashambuliwa na mbwa wanne.
Sasa wanakijiji kule wanasema,"Kwanza huyu Mwakinyo alivyokuja hapa kijijini kwetu ni kwa sababu alikuwa amefanya madudu kwingine alikuja hapa kupata hifadhi."
 
N

Ndugu unajuaje kuwa alifungiwa kwenye banda na mbwa? Sisi binadamu tuna uwongo mwingi sana tunapotafuta huruma kwa watu. Kwanini iwe yeye tu afungiwe kwani hakuna watu wengine wanapita hapo?
sasa unataka nikuamini wewe au nimuamini huyo kijana aliyeponea chupuchupu kuuawa na Mwakinyo?
 
Back
Top Bottom