Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Yeah sureAdui umaskini..
Acha chuki huyo kijana atakuwa ni mvamiziNimemskia huyo kijana aisee amefanyiwa kitendo cha kinyama sana...!!
Huyo mwakinyo ngumi zimemshinda amebaki kumake headline kwa mambo ya kipuuzi kama hili la kuonea watu, mjinga sana huyo mwa k
Mwakinyo ni mpumbavu, alipata vi hela akakarabati nyumba yao makorora then akafungia kila mtu Vioo, aliacha salimia watu hata misiba ya jirani zao aliacha hudhurua. Alipandisha mabega mnoHuyo jamaa kumbe ni mpumbavu hivyo
Kweli kabisa huyu kijana ni mwizi na anapaswa Kushukuru kwa huruma aliyoipata vinginevyo Alitalia awe polisiAcha chuki huyo kijana atakuwa ni mvamizi
Ile Nyumba anakaa kuukuu Kama ghofu ndo alikarabati ?Mwakinyo ni mpumbavu, alipata vi hela akakarabati nyumba yao makorora then akafungia kila mtu Vioo, aliacha salimia watu hata misiba ya jirani zao aliacha hudhurua. Alipandisha mabega mno
Ndio, nadhan Amekulia kwenye ufukara uliopitiliza.Ile Nyumba anakaa kuukuu Kama ghofu ndo alikarabati ?
Then huyo jamaa huwa hayupo smart katika kufanya maamuzi anaishi na Phobia fulani in his mind
Duh nyinyi ndio wale wanaitwa wachawi wa mafanikio ya watu.Mwakinyo ni mpumbavu, alipata vi hela akakarabati nyumba yao makorora then akafungia kila mtu Vioo, aliacha salimia watu hata misiba ya jirani zao aliacha hudhurua. Alipandisha mabega mno
Huyo kijana atakuwa mwiziNimemskia huyo kijana aisee amefanyiwa kitendo cha kinyama sana...!!
Huyo mwakinyo ngumi zimemshinda amebaki kumake headline kwa mambo ya kipuuzi kama hili la kuonea watu, mjinga sana huyo mwa k
Kwa maoni yangu.Kijana aliyefahamika kwa jina la Mussa Ally mkazi wa Sahare, Jijini Tanga amemtuhumu Bondia wa Ngumi nchini, Hassan Mwakinyo Kumshambulia kwa kisu, na kumfungulia mbwa wanne Majira ya saa 12 Alfajiri alipokuwa akiokota nazi zilizokuwepo barabarani katika mtaa wa Sahare Vijijini
Soma Pia: Mwakinyo anashikiliwa na jeshi la Polisi tangu jana Alhamis 6 March, 2025
Akiongea kwa Maumivu ya Majeraha hayo akiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo, Mussa amesema aliamka asubuhi kwa ajili ya kwenda kwenye shughuli zake za kila siku, na alipokuwa njiani alikutana na nazi ambazo akaanza kuziokota.
Dogo ni wa hovyo haswaDuh nyinyi ndio wale wanaitwa wachawi wa mafanikio ya watu.