Huu ni unyanyasaji mkubwa sana!! Hawa watoto mmewatoa shule waje waijaze Jamhuri.....Rais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige.
Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi wa Uchaguzi wa 2025.
View attachment 3063232
Tukio hili linaingia kwenye historia kwani haikuwahi kutokea wingi wa watu waliohudhuria kwenye ziara ya Viongozi wa kitaifa kama hii iliyotokea Morogoro leo hii.
HAIJAWAHI KUTOKEA HADI KIONGOZI KUTAMANI KUPIGA SELFIE NA WANANCHI.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Nyomi la Mwamposa ni la hiyari(real), ila la Samia ni la mchongo maana linapatikana kwa nguvu za dola.Rais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige.
Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi wa Uchaguzi wa 2025.
View attachment 3063232
Hana uwezo wa kupata nyomi la hivyo kwa hiari. Kizazi cha kujaa kwenye mikutano ya ccm bila shuruti kiliisha kwenye uchaguzi wa 2005 wakati wa JK.Hao wote Wana umri zaidi ya miaka 18 tatizo liko wapi hapo?
Mada yako ni nyomi, na mimi nikakuonyesha nyomi la kweli na la mchongo.Umeilewa mada yangu lakini?
Kwenye nyomi la mchongo😂😂Tukio hili linaingia kwenye historia kwani haikuwahi kutokea wingi wa watu waliohudhuria kwenye ziara ya Viongozi wa kitaifa kama hii iliyotokea Morogoro leo hii.
HAIJAWAHI KUTOKEA HADI KIONGOZI KUTAMANI KUPIGA SELFIE NA WANANCHI.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Picha?Tukio hili linaingia kwenye historia kwani haikuwahi kutokea wingi wa watu waliohudhuria kwenye ziara ya Viongozi wa kitaifa kama hii iliyotokea Morogoro leo hii.
HAIJAWAHI KUTOKEA HADI KIONGOZI KUTAMANI KUPIGA SELFIE NA WANANCHI.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
You could be sick......Hao wote Wana umri zaidi ya miaka 18 tatizo liko wapi hapo?