Pre GE2025 VIDEO: Boniface Mwamposa na Rais Samia ndio Watu pekee ambao mikutano yao inakusanya watu wengi zaidi Ukanda mzima wa Maziwa Makuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi ninyi wenzeru mnaishi wapi?
Kweli ccm inamtaji wa wajinga wengi
 
Haa haa🤪🤪

Halafu umesahau pia kuwa, kuna wale wengine wa msafara toka DSM na Dodoma anaozunguka nao kila aendako na msafara wa magari zaidi 200, ndege, helcopter nk

Hawa ndio hujaza uwanja kwa kuelekezwa namna ya kusimama kwa mtawanyiko fulani uwanjani ili drones zichukue video na picha kisha wazitumie kumfanyia promotion ya kujilisha upepo kudanganya nafsi zao na kumdanganya huyu mama yao, Chawa Mkuu kuwa anapendwa sana..

Na kuna watu jemba fulani very special za kum - promote huyu bibie kwa udanganyifu na ulaghai mwingi..

Hapa JF wanaonekana kwa uwazi kabisa. Waangalie hawa Lucas Mwashambwa (chawa mkuu, kiongozi wao), Vugu-Vugu, ChoiceVariable, jingalao na Tlaatlaah. Hata thread zao hata sasa zimetupiwa kwa wakati mmoja zimepangana hapo juu zikibeba maudhui yanayofanana...

Hawa anaweza kuwa mtu mmoja mwenye multiple JF IDs au wakawa watu tofauti tofauti lakini wote wako assigned na one special task ya kum - promote bibie kiundanganyifu ili mradi wao wanatia zao mfukoni kila siku kwenda kula na watoto wao..

Pia kuna hili jamaa linaitwa Etwege, lenyewe ni li - Chawa 100% la CCM . Lakini halimpi sapoti huyu mama. Bado ni lifuasi tiifu la Hayati John P. Magufuli lakini haliipendi na kuichukia CHADEMA ile mbaya na hususani Tundu Lissu...

Huyu jamaa Etwege ana chuki na Tundu Lissu balaa kiasi kwamba juzi alipomwona anakata ngoma Dodoma akishangilia ushindi wa Rais wa TLS Boniface Mwabukusi, jamaa alijawa na hasira na jazba kwa post - comment yake moja hapa JF. Mimi nikamkwoti kumwambia, mbona unasumbuka hivyo ndugu yangu? Hiyo chuki dhidi ya Tundu Lissu mtu aliyekwishabarikiwa na Mungu zitakupeleka kaburini mapema bila sababu kabla ya muda wako. Kilichokwishakubarikiwa na Mungu, hakuna binadamu anayeweza kukilaani..!

Huyu Etwege recently, ndiye aliyeandaa na ku - post thread moja humu eti likiiomba serikali iwapige marufuku mashabiki, wanachama na wafuasi wa CHADEMA wote wasitumie au kupanda kabisa treni ya SGR asijue kuwa karibu 95% ya nchi yote ya Tanganyika imejazwa na wana - CHADEMA na kuwazuia wasipande maana yake treni yote iwe inatembea tupu..!!

That was absolutely desperate uchizi toka kwa mtu huyu..
 
Haa haa🤪🤪

Halafu umesahau kuna wale wengine anaozunguka nao kila aendako na msafara wa magari zaidi 200, ndege, helcopter, punda nk ndiyo huelekezwa namna ya kutawanyika uwanjani ili drones zichukue video kisha wazitumie kumfanyia promotion ya kujilisha upepo kudanganya nafsi zao huyu mama yao, Chawa Mkuu..

Na watu kum - promote huyu bibie kwa udanganyifu na ulaghai mwingi kwa hapa JF ambao wanaonekana kwa uwazi kabisa ni Lucas Mwashambwa (chawa mkuu, kiongozi wao), Vugu-Vugu, ChoiceVariable, jingalao na Tlaatlaah. Hawa anaweza kuwa mtu mmoja mwenye multiple JF IDs au wakawa watu tofauti tofauti lakini wote wako assigned na one special task ya kum - promote bibie kiundanganyifu ili mradi wao wanatia zao mfukoni kila siku..

Kuna hili jamaa linaitwa Etwege, lenyewe ni li - Chawa 100% la CCM . Lakini halimpi sapoti huyu mama. Bado ni lifuasi tiifu la Hayati John P. Magufuli lakini haliipendi na kuichukia CHADEMA ile mbaya na hususani Tundu Lissu...

Huyu jamaa Etwege ana chuki na Tundu Lissu balaa kiasi kwamba juzi alipomwona anakata ngoma Dodoma akishangilia ushindi wa Rais wa TLS Boniface Mwabukusi, jamaa alijawa na hasira na jazba kwa post - comment yake moja hapa JF. Mimi nikamkwoti kumwambia, mbona unasumbuka hivyo ndugu yangu? Hiyo chuki dhidi ya Tundu Lissu mtu aliyekwishabarikiwa na Mungu zitakupeleka kaburini mapema bila sababu kabla ya muda wako. Kilichokwishakubarikiwa na Mungu, hakuna binadamu anayeweza kukilaani..!

Huyu Etwege recently, ndiye aliyeandaa na ku - post thread moja humu eti likiiomba serikali iwapige marufuku mashabiki, wanachama na wafuasi wa CHADEMA wote wasitumie au kupanda kabisa treni ya SGR asijue kuwa karibu 95% ya nchi yote ya Tanganyika imejazwa na wana - CHADEMA na kuwazuia wasipande maana yake treni yote iwe inatembea tupu..!!

That was absolutely desperate uchizi toka kwa mtu huyu..
Mama ni chaguo la Mungu na aliyepewa kibali na Mungu Mwenyewe.kwa hiyo Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu na kupewa kibali na Mungu
 
Tukio hili linaingia kwenye historia kwani haikuwahi kutokea wingi wa watu waliohudhuria kwenye ziara ya Viongozi wa kitaifa kama hii iliyotokea Morogoro leo hii.
HAIJAWAHI KUTOKEA HADI KIONGOZI KUTAMANI KUPIGA SELFIE NA WANANCHI.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Legacy ya Chato kwisha habari yake. Wafia legacy sasa wanaunga juhudi kwa kasi ya mwanga wa jua. Mama SSH wapokee tu hawa, hawana pa kwenda
 
Mama ni chaguo la Mungu na aliyepewa kibali na Mungu Mwenyewe.kwa hiyo Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu na kupewa kibali na Mungu
Hata shetani huwapa vibali viongozi kiulaghai lakini mwisho wa siku huishia kwenye kuangamia na kuchinjwa na huyohuyo shetani..

Mtu au kiongozi mwenye kibali cha Mungu aliyehai, NI MKWELI, MNYENYEKEVU, MVUMILIVU, HALAZIMISHI WATU KUMPENDA bali UPENDO HUMFUATA, HANA HOFU YA KUFA KWA SABABU ANAJUA HATA AKIFA, BASI ATAKUFA KTK HAKI na sifa zinanazofanana na hizi..

Mama yako ana sifa hizi? Si mnazilazimisha kwa nguvu tu? Barua za kulazimisha watu kuhudhuria mikutano yake? Really? Kama ana jambo la maana unadhani ukitangaza tu si watu wataenda wenyewe?

Ukiona LAZIMA hizi, tambua kuwa hakuna kitu hapo..!;
 
Rais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige.

Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi wa Uchaguzi wa 2025.
View attachment 3063232
mbona unasema ukweli mtupu gentleman?🤣

watu wa mihemko, wivu, gubu na waporomosha matusi hawapendagi kuona au kuambiwa ukweli, wanajiskia uchungu watukutuna wewe dah !!🐒
 
Legacy ya Chato kwisha habari yake. Wafia legacy sasa wanaunga juhudi kwa kasi ya mwanga wa jua. Mama SSH wapokee tu hawa, hawana pa kwenda
Soma thread zangu zote...usikurupuke Gen Z wewe.nachukia waongo na wapotoshaji kama wewe.
 
Haa haa🤪🤪

Halafu umesahau pia kuwa, kuna wale wengine wa msafara toka DSM na Dodoma anaozunguka nao kila aendako na msafara wa magari zaidi 200, ndege, helcopter nk

Hawa ndio hujaza uwanja kwa kuelekezwa namna ya kusimama kwa mtawanyiko fulani uwanjani ili drones zichukue video na picha kisha wazitumie kumfanyia promotion ya kujilisha upepo kudanganya nafsi zao na kumdanganya huyu mama yao, Chawa Mkuu kuwa anapendwa sana..

Na kuna watu jemba fulani very special za kum - promote huyu bibie kwa udanganyifu na ulaghai mwingi..

Hapa JF wanaonekana kwa uwazi kabisa. Waangalie hawa Lucas Mwashambwa (chawa mkuu, kiongozi wao), Vugu-Vugu, ChoiceVariable, jingalao na Tlaatlaah. Hata thread zao hata sasa zimetupiwa kwa wakati mmoja zimepangana hapo juu zikibeba maudhui yanayofanana...

Hawa anaweza kuwa mtu mmoja mwenye multiple JF IDs au wakawa watu tofauti tofauti lakini wote wako assigned na one special task ya kum - promote bibie kiundanganyifu ili mradi wao wanatia zao mfukoni kila siku kwenda kula na watoto wao..

Pia kuna hili jamaa linaitwa Etwege, lenyewe ni li - Chawa 100% la CCM . Lakini halimpi sapoti huyu mama. Bado ni lifuasi tiifu la Hayati John P. Magufuli lakini haliipendi na kuichukia CHADEMA ile mbaya na hususani Tundu Lissu...

Huyu jamaa Etwege ana chuki na Tundu Lissu balaa kiasi kwamba juzi alipomwona anakata ngoma Dodoma akishangilia ushindi wa Rais wa TLS Boniface Mwabukusi, jamaa alijawa na hasira na jazba kwa post - comment yake moja hapa JF. Mimi nikamkwoti kumwambia, mbona unasumbuka hivyo ndugu yangu? Hiyo chuki dhidi ya Tundu Lissu mtu aliyekwishabarikiwa na Mungu zitakupeleka kaburini mapema bila sababu kabla ya muda wako. Kilichokwishakubarikiwa na Mungu, hakuna binadamu anayeweza kukilaani..!

Huyu Etwege recently, ndiye aliyeandaa na ku - post thread moja humu eti likiiomba serikali iwapige marufuku mashabiki, wanachama na wafuasi wa CHADEMA wote wasitumie au kupanda kabisa treni ya SGR asijue kuwa karibu 95% ya nchi yote ya Tanganyika imejazwa na wana - CHADEMA na kuwazuia wasipande maana yake treni yote iwe inatembea tupu..!!

That was absolutely desperate uchizi toka kwa mtu huyu..
gentleman,
upotoshaji wako dhaifu na wa kinyonge namna hiyo utakusaidia nini sasa mbele ya ukweli ndugu yangu?🐒

unatajataja majina ya watu kwa mistari isiyo na vina tena ukiambatanisha na maelezo ya uzushi, unapata faida gani sasa?

Dr.Samia Suluhu Hassan, anapendwa na wanainchi nchi nzima. anakubalika, anaaminika na anategemewa na makundi mbalimbali ya waTanzania wanapo elekea kutimiza ndoto na matamanio yao ya kimaisha, ukweli huu nao lazima uone wivu, Kweli?🐒
 
Back
Top Bottom