residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Aboud,BM na New Force wamefanya kazi nzuri sana.Picha?
Je, walikuja wenyewe bila kusombwa na malori kama siku zote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aboud,BM na New Force wamefanya kazi nzuri sana.Picha?
Je, walikuja wenyewe bila kusombwa na malori kama siku zote?
CCM ni laana.Huu ni unyanyasaji mkubwa sana!! Hawa watoto mmewatoa shule waje waijaze Jamhuri.....
Wataanza kuokota Makopo muda siyo mrefuWanahali mbaya sana
utasomba kina nani kama hawakutaki?Picha?
Je, walikuja wenyewe bila kusombwa na malori kama siku zote?
Haa haa🤪🤪
kwani watumishi wapo wangapi na waliohudhiria ni wangapi?
Mama ni chaguo la Mungu na aliyepewa kibali na Mungu Mwenyewe.kwa hiyo Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu na kupewa kibali na MunguHaa haa🤪🤪
Halafu umesahau kuna wale wengine anaozunguka nao kila aendako na msafara wa magari zaidi 200, ndege, helcopter, punda nk ndiyo huelekezwa namna ya kutawanyika uwanjani ili drones zichukue video kisha wazitumie kumfanyia promotion ya kujilisha upepo kudanganya nafsi zao huyu mama yao, Chawa Mkuu..
Na watu kum - promote huyu bibie kwa udanganyifu na ulaghai mwingi kwa hapa JF ambao wanaonekana kwa uwazi kabisa ni Lucas Mwashambwa (chawa mkuu, kiongozi wao), Vugu-Vugu, ChoiceVariable, jingalao na Tlaatlaah. Hawa anaweza kuwa mtu mmoja mwenye multiple JF IDs au wakawa watu tofauti tofauti lakini wote wako assigned na one special task ya kum - promote bibie kiundanganyifu ili mradi wao wanatia zao mfukoni kila siku..
Kuna hili jamaa linaitwa Etwege, lenyewe ni li - Chawa 100% la CCM . Lakini halimpi sapoti huyu mama. Bado ni lifuasi tiifu la Hayati John P. Magufuli lakini haliipendi na kuichukia CHADEMA ile mbaya na hususani Tundu Lissu...
Huyu jamaa Etwege ana chuki na Tundu Lissu balaa kiasi kwamba juzi alipomwona anakata ngoma Dodoma akishangilia ushindi wa Rais wa TLS Boniface Mwabukusi, jamaa alijawa na hasira na jazba kwa post - comment yake moja hapa JF. Mimi nikamkwoti kumwambia, mbona unasumbuka hivyo ndugu yangu? Hiyo chuki dhidi ya Tundu Lissu mtu aliyekwishabarikiwa na Mungu zitakupeleka kaburini mapema bila sababu kabla ya muda wako. Kilichokwishakubarikiwa na Mungu, hakuna binadamu anayeweza kukilaani..!
Huyu Etwege recently, ndiye aliyeandaa na ku - post thread moja humu eti likiiomba serikali iwapige marufuku mashabiki, wanachama na wafuasi wa CHADEMA wote wasitumie au kupanda kabisa treni ya SGR asijue kuwa karibu 95% ya nchi yote ya Tanganyika imejazwa na wana - CHADEMA na kuwazuia wasipande maana yake treni yote iwe inatembea tupu..!!
That was absolutely desperate uchizi toka kwa mtu huyu..
Legacy ya Chato kwisha habari yake. Wafia legacy sasa wanaunga juhudi kwa kasi ya mwanga wa jua. Mama SSH wapokee tu hawa, hawana pa kwendaTukio hili linaingia kwenye historia kwani haikuwahi kutokea wingi wa watu waliohudhuria kwenye ziara ya Viongozi wa kitaifa kama hii iliyotokea Morogoro leo hii.
HAIJAWAHI KUTOKEA HADI KIONGOZI KUTAMANI KUPIGA SELFIE NA WANANCHI.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Hata shetani huwapa vibali viongozi kiulaghai lakini mwisho wa siku huishia kwenye kuangamia na kuchinjwa na huyohuyo shetani..Mama ni chaguo la Mungu na aliyepewa kibali na Mungu Mwenyewe.kwa hiyo Usishindane na aliyeinuliwa na Mungu na kupewa kibali na Mungu
mbona unasema ukweli mtupu gentleman?🤣Rais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige.
Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi wa Uchaguzi wa 2025.
View attachment 3063232
Soma thread zangu zote...usikurupuke Gen Z wewe.nachukia waongo na wapotoshaji kama wewe.Legacy ya Chato kwisha habari yake. Wafia legacy sasa wanaunga juhudi kwa kasi ya mwanga wa jua. Mama SSH wapokee tu hawa, hawana pa kwenda
Kiongozi upo? Mbona unaingilia majukumu ya Lucas Mwashambwa?Tukio hili linaingia kwenye historia kwani haikuwahi kutokea wingi wa watu waliohudhuria kwenye ziara ya Viongozi wa kitaifa kama hii iliyotokea Morogoro leo hii.
HAIJAWAHI KUTOKEA HADI KIONGOZI KUTAMANI KUPIGA SELFIE NA WANANCHI.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!View attachment 3063318
gentleman,Haa haa🤪🤪
Halafu umesahau pia kuwa, kuna wale wengine wa msafara toka DSM na Dodoma anaozunguka nao kila aendako na msafara wa magari zaidi 200, ndege, helcopter nk
Hawa ndio hujaza uwanja kwa kuelekezwa namna ya kusimama kwa mtawanyiko fulani uwanjani ili drones zichukue video na picha kisha wazitumie kumfanyia promotion ya kujilisha upepo kudanganya nafsi zao na kumdanganya huyu mama yao, Chawa Mkuu kuwa anapendwa sana..
Na kuna watu jemba fulani very special za kum - promote huyu bibie kwa udanganyifu na ulaghai mwingi..
Hapa JF wanaonekana kwa uwazi kabisa. Waangalie hawa Lucas Mwashambwa (chawa mkuu, kiongozi wao), Vugu-Vugu, ChoiceVariable, jingalao na Tlaatlaah. Hata thread zao hata sasa zimetupiwa kwa wakati mmoja zimepangana hapo juu zikibeba maudhui yanayofanana...
Hawa anaweza kuwa mtu mmoja mwenye multiple JF IDs au wakawa watu tofauti tofauti lakini wote wako assigned na one special task ya kum - promote bibie kiundanganyifu ili mradi wao wanatia zao mfukoni kila siku kwenda kula na watoto wao..
Pia kuna hili jamaa linaitwa Etwege, lenyewe ni li - Chawa 100% la CCM . Lakini halimpi sapoti huyu mama. Bado ni lifuasi tiifu la Hayati John P. Magufuli lakini haliipendi na kuichukia CHADEMA ile mbaya na hususani Tundu Lissu...
Huyu jamaa Etwege ana chuki na Tundu Lissu balaa kiasi kwamba juzi alipomwona anakata ngoma Dodoma akishangilia ushindi wa Rais wa TLS Boniface Mwabukusi, jamaa alijawa na hasira na jazba kwa post - comment yake moja hapa JF. Mimi nikamkwoti kumwambia, mbona unasumbuka hivyo ndugu yangu? Hiyo chuki dhidi ya Tundu Lissu mtu aliyekwishabarikiwa na Mungu zitakupeleka kaburini mapema bila sababu kabla ya muda wako. Kilichokwishakubarikiwa na Mungu, hakuna binadamu anayeweza kukilaani..!
Huyu Etwege recently, ndiye aliyeandaa na ku - post thread moja humu eti likiiomba serikali iwapige marufuku mashabiki, wanachama na wafuasi wa CHADEMA wote wasitumie au kupanda kabisa treni ya SGR asijue kuwa karibu 95% ya nchi yote ya Tanganyika imejazwa na wana - CHADEMA na kuwazuia wasipande maana yake treni yote iwe inatembea tupu..!!
That was absolutely desperate uchizi toka kwa mtu huyu..
ukifuatilia kwa utaratibu huo utasema nimeingilia majukumu ya wengi humu jamvini...jipe muda basi usome threads zangu za enzi na enziKiongozi upo? Mbona unaingilia majukumu ya Lucas Mwashambwa?