Pre GE2025 VIDEO: Boniface Mwamposa na Rais Samia ndio Watu pekee ambao mikutano yao inakusanya watu wengi zaidi Ukanda mzima wa Maziwa Makuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
1,381
Reaction score
1,600
Rais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige.

Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi wa Uchaguzi wa 2025.

downloadfile-99.jpg
 
View attachment 3063232
Huu ni unyanyasaji mkubwa sana!! Hawa watoto mmewatoa shule waje waijaze Jamhuri.....

Screenshot_20240806_193415_TikTok.jpg
Screenshot_20240806_193455_TikTok.jpg
Screenshot_20240806_193517_TikTok.jpg
Screenshot_20240806_193541_TikTok.jpg
Screenshot_20240806_193556_TikTok.jpg
 
Tukio hili linaingia kwenye historia kwani haikuwahi kutokea wingi wa watu waliohudhuria kwenye ziara ya Viongozi wa kitaifa kama hii iliyotokea Morogoro leo hii.
HAIJAWAHI KUTOKEA HADI KIONGOZI KUTAMANI KUPIGA SELFIE NA WANANCHI.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
IMG-20240806-WA0115.jpg
 
Rais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige.

Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi wa Uchaguzi wa 2025.
View attachment 3063232
Nyomi la Mwamposa ni la hiyari(real), ila la Samia ni la mchongo maana linapatikana kwa nguvu za dola.
 
Tukio hili linaingia kwenye historia kwani haikuwahi kutokea wingi wa watu waliohudhuria kwenye ziara ya Viongozi wa kitaifa kama hii iliyotokea Morogoro leo hii.
HAIJAWAHI KUTOKEA HADI KIONGOZI KUTAMANI KUPIGA SELFIE NA WANANCHI.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Kwenye nyomi la mchongo😂😂
 
Picha?
Je, walikuja wenyewe bila kusombwa na malori kama siku zote?
 
Back
Top Bottom