Pre GE2025 VIDEO: Boniface Mwamposa na Rais Samia ndio Watu pekee ambao mikutano yao inakusanya watu wengi zaidi Ukanda mzima wa Maziwa Makuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli, kama watu hawakutaki na hawataki kuja kwenye mikutano yako utaenda kuwatutusa toka majumbani mwao?
huwezi kusomba watu wasiotaka...period.
wanaotaka na ukapeleka usafiri watajaa tu.
hii nyomi hata TRUMP hajawahi fikisha..
 
Hii kazi huiwezi Luca keshakupiga bao.
Jingalao ni sawa na Makalla wakati Lukasi ni Makonda mwenyewe. Jingalao hata sijui kama alishawahi kububujishwa machozi na mama kwa furaha. Bado ana safari ndefu sana!
 
Umati huo unakusanywa na roho ya Nangaya na roho ya upako wa mafuta na udongo wa bukubuku.
 
Tofauti ni moja tu, yaani mmoja anajaza wazazi mmoja anajaza watoto kama klinic
 
Mimi ninachojua kwa viongozi wa CCM yetu ni Makonda pekee anaweza akakusanya umati mkubwa wa watu wanaenda kwa hiari yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…