UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Kweli, kama watu hawakutaki na hawataki kuja kwenye mikutano yako utaenda kuwatutusa toka majumbani mwao?utasomba kina nani kama hawakutaki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli, kama watu hawakutaki na hawataki kuja kwenye mikutano yako utaenda kuwatutusa toka majumbani mwao?utasomba kina nani kama hawakutaki?
una shida ?wengi walishasema mithili ya hiviLijinga lao🥴🥴🥴
huwezi kusomba watu wasiotaka...period.Kweli, kama watu hawakutaki na hawataki kuja kwenye mikutano yako utaenda kuwatutusa toka majumbani mwao?
Umeniwahi mkuu, sema yule msukuma 'sijui' mwashambwa alichelewa kupata hii habari ili aifisadie 😀!Hii kazi huiwezi Luca keshakupiga bao.
Jingalao ni sawa na Makalla wakati Lukasi ni Makonda mwenyewe. Jingalao hata sijui kama alishawahi kububujishwa machozi na mama kwa furaha. Bado ana safari ndefu sana!Hii kazi huiwezi Luca keshakupiga bao.
Hii demokrasia ya wapi mtu kupata ushindi kwa uwepo wa watu wengi kwenye mkutano wake?!!Rais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige.
Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi wa Uchaguzi wa 2025.
Mbona karibia wote wanaonekana wadogo??Hao wote Wana umri zaidi ya miaka 18 tatizo liko wapi hapo?
Hii nchi inaumwaUnataka kusemaje Kwa ufupii mkuu !!
tafadhalii...
Kwani tatizo nini?Mbona watu wamesombwa na abood?
Chezea pesa?utasomba kina nani kama hawakutaki?
Watu masikini na mawazo yao ya kimaskiniRais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige.
Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi wa Uchaguzi wa 2025.
Mama anatishaRais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige.
Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi wa Uchaguzi wa 2025.
Wasanii gani walikuwepo, hebu tutajie majina.Sina upande wa siasa ila hii ya leo ni balaa aisee
Watu wenye bahati zaoRais Samia Suluhu Hassan na Boniface Mwamposa ndio Watu wenye mvuto zaidi Ukanda mzima wa maziwa makuu kwani wanakusanya maelefu ya watu kama nzige.
Rais Samia kwa umati huu tayari ni mshindi wa Uchaguzi wa 2025.