white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Nyie ndio wenye serikali, miaka yote mlimfanya nini sasa?Hivi sasa Kinana sio jangili wa meno ya tembo tena. Mnabadilika badilika sana nyie makamanda uchwara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndio wenye serikali, miaka yote mlimfanya nini sasa?Hivi sasa Kinana sio jangili wa meno ya tembo tena. Mnabadilika badilika sana nyie makamanda uchwara.
"Nyie" akina nani hao?Nyie ndio wenye serikali, miaka yote mlimfanya nini sasa?
Hayo ni maoni yake... Wacha kudharau utu wa mtu kisa siasa za kijinga.Kazi ya Mungu haina makosa, lakini angekufanya mbuzi wewe ingekuwa faida zaidi maana sikukuu ungetosha kuwa supu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vibwengo fc"Nyie" akina nani hao?
Ahaa, nenda kawaambie basi.Vibwengo fc
Kuna msemo wa Kiswahili unaodai kwamba Wazee ni hazina, ama unaweza kusema Mkubwa dawa.
View attachment 1354403
Hah hah leo ndio unamuona ana busara kisa kageuka Yuda,mchukueni Chadema sababu ndiyo mnayotegemea badala ya sera mnategemea muwadake akina KinanaKuna msemo wa Kiswahili unaodai kwamba Wazee ni hazina, ama unaweza kusema Mkubwa dawa.
View attachment 1354403
MA CCM MA MBWA MA SHETANI WA KUBWA"Nyie" akina nani hao?
Hebu ngoja:Mkuu ukimtaja huyo mtu huu uzi waweza kuondolewa
Pole mkuu,sema tu watanzania tu wagumu kujifunza na kuelewa mambo.Kama unataka ujumbe huu umfikie magufuli,magufuli si mtu wa kusikia na kuelewa then akachukua hatua,hulka ya magufuli ni ugomvi ,visasi etc.is like mnyama simba,mnyama simba ukimrushia mkuki umpate,usimpate lazima aje kupambana na wewe,either akuumize au yeye aumie,simba hakimbii eti kwa kuwa una mkuki au akimbie kwa kuwa umemurushia mkuki,.Magufuli anasikia damu zikianza kumtoka, otherwise hajari..wazungu wenye akili waliliona hili and you can see mambo yanayoendelea nchini baada ya damu kuanza kumtokaNatamani hii kideo iwe ya leo leo jamani
Mkuu hujawahi kuona saa mbovu ikionesha muda sahihi sometime? au wewe hata huo muda sahihi iliyouonesha huwa unaukataa kwa kuwa saa ni mbovu? au you think jangiri hana akili na hawezi fanya jambo jema nje ya ujangiri wake?I dont believe wanaccm tunaakili ndogo kiasi hikiHivi sasa Kinana sio jangili wa meno ya tembo tena. Mnabadilika badilika sana nyie makamanda uchwara.
Hapa ndipo nilishindwa kuwa mfuasi wa kadema, inabidi uwe bendera fuata upepo!Hivi sasa Kinana sio jangili wa meno ya tembo tena. Mnabadilika badilika sana nyie makamanda uchwara.
Ukiwa na bichwa kubwa bila akili ni adhabu kwa miguu! Nakushauri shirikisha akili ndogo uliyojaaliwa kufikiri huenda ikasaidia japo kwa 3%Mbowe asikilize ushauri wa Kinana apishe wengine.
Amekalia kutishia watu eti sumu haionjwi kwa ulimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mr 0 kageuka Mr 100!Hivi sasa Kinana sio jangili wa meno ya tembo tena. Mnabadilika badilika sana nyie makamanda uchwara.
Kuna msemo wa Kiswahili unaodai kwamba Wazee ni hazina, ama unaweza kusema Mkubwa dawa.
View attachment 1354403
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwa akili kama hizi kweli ccm itatawala milele!Ila ni Kanali huyo! Na makambini bado wapo rafiki zake kibao.
Ndio yale ya NIGUSE NINUKE
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kenye maelekezo mnayopewa na Polepole huwa ni lazima kila siku mumtaje mbowe hata mahali asipohusika?Mbowe asikilize ushauri wa Kinana apishe wengine.
Amekalia kutishia watu eti sumu haionjwi kwa ulimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga, hayo ni maoni yake. Kumbe huwa mnalilia uhuru ambao nyie wenyewe hamuupendi?Kazi ya Mungu haina makosa, lakini angekufanya mbuzi wewe ingekuwa faida zaidi maana sikukuu ungetosha kuwa supu
Sent using Jamii Forums mobile app
Imebaki ni maneno ya majadiliano tu kwenye mikutano lakini utekelezaji wake unabaki kuwa utashi wa mtu mmoja mmojaKuna msemo wa Kiswahili unaodai kwamba Wazee ni hazina, ama unaweza kusema Mkubwa dawa.
View attachment 1354403
Huyo mkungu alipewa mimba na mbowe aka achwa usishangae hata kunyimwa mikopo na benki ya dunia ata msingizia ni mboweHivi kenye maelekezo mnayopewa na Polepole huwa ni lazima kila siku mumtaje mbowe hata mahali asipohusika?