Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
jibu swali uliloulizwa"Nyie" akina nani hao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu swali uliloulizwa"Nyie" akina nani hao?
Umewehuka ?Acha ujinga, hayo ni maoni yake. Kumbe huwa mnalilia uhuru ambao nyie wenyewe hamuupendi?
Heshimu maoni ya wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haijawa closed kwa Sababu..... Kinana hajasema "Viongozi" Bali "Kiongozi" hivyo basi wewe Neno Viongozi unalitoa wapi Mbona Hakuna aliyelisema.....???!!!Ha, Moderators watakuwa wanatuonea. Kwani Magufuli sio kiongozi? Au Kinana alikuwa anamaanisha Trump?
Itakuwa interesting kwenye cross examination na moderators;
"Kinana alisema nini?"
"Alisema kiongozi awe msikivu"
"Synthesizer alisema nini?"
"Alisema kwenye kauli ya Kinana weka Magufuli badala ya kiongozi"
"Kiongozi au viongozi?"
"Kinana alisema kiongozi"
"Je Magufuli ni kiongozi"
"Ndio"
"Kwa hiyo kuna kosa Synthesizer akiweka Magufuli badala ya kiongozi?"
"Ndio kuna kosa"
"Kwa nini"
"Kwa sababu Kinana hakumaanisha Magufuli alisema Kiongozi"
"Tutajie baadhi ya viongozi wa hapa nchini ukianza na wa juu kabisa"
"Magufuli"
Case closed.
ccm hii siyo tu kuna mtafaruku , bali kuna vita na unyama wa kutisha , tangu lini mtu duni kama Musiba akawa ndio mtoa dira wa chama ? hii ni aibu kubwa sana !Huwa nafurahi sana chadema kufurahia akili kubwa ya ccm,mkiamini ccm kuna mtafaruku
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijibu. Utanifanya nini?jibu swali uliloulizwa
Alipokuja Chadema si aligeuka Mr 100, au?
Alipokuja Chadema si aligeuka Mr 100, au?
Hii vipi ?Kwahiyo kinana leo tena siyo fisadi?
Bali ni mzee wa busara?!!
Duh!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo liko wapi?
😆😆😆Tatizo liko wapi?
Kwahiyo chadema ndo mpokea majizi kutoka ccm?Hii vipi ?View attachment 1355132
Nyie mnaoteka watu na kuwatupa wakiwa maiti kwenye viroba ndiyo mna afadhali. Nguruwe nyieMbowe asikilize ushauri wa Kinana apishe wengine.
Amekalia kutishia watu eti sumu haionjwi kwa ulimi
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kupanua magoli .
Duh.na aliyesema amesukumiziwa Ikulu ndo huyu huyu aliyeaamua kuchukua form mwenyewe baada ya kuona anafit au ni watu wawili tofauti?
bora anaetishia kuliko anaeua damu ya mtu haipotei bure shame on youCMMMbowe asikilize ushauri wa Kinana apishe wengine.
Amekalia kutishia watu eti sumu haionjwi kwa ulimi
Sent using Jamii Forums mobile app