Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,270
- 2,822
Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science.
Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
View attachment 2637216
Noma sana , unaweza kukuta huyo jamaa ndio Lukas MwashambwaBila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science.
Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
View attachment 2637216
Huyo jamaa sio mzima humo kichwani, huenda ni kibaka. Hana hoja za kumshauri LisuBila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science.
Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
View attachment 2637216
Ni mwenzetu humu Jf, anaitwa LucasHuyo jamaa sio mzima humo kichwani, huenda ni kibaka. Hana hoja za kumshauri Lisu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Noma sana , unaweza kukuta huyo jamaa ndio Lukas Mwashambwa
Lissu anahoja gani inayopaswa hata kujaribu acha kujibiwa kwa mfano?Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science.
Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
View attachment 2637216
Kwamba alipigwa risasi kwa amri ya jiwe na kwamba waliompiga risasi mpaka leo hawajakamatwa.Lissu anahoja gani inayopaswa hata kujaribu acha kujibiwa kwa mfano?
Kapigwa risasi kwa amri ya jiweKwamba alipigwa risasi kwa amri ya jiwe na kwamba waliompiga risasi mpaka leo hawajakamatwa.
Kwamba Ben sanane aliuwawa na jiwe mwenyewe hapo magogoni.
Kwwamba kuna maiti zilikuwa zinaelea baharini bila maelezo toka kwa jeshi la polisi
Kwamba katiba ibadilishwe
Mara ya mwisho bwana huyu alikuwa na mteja wake- Mh. Mbowe. Mh. Mbowe ndiye anayepaswa kuisaidia polisi kupelelez ayu wapi Ben. Kwa maelezo ya Katibu Mkuu wa zamani wa CHADEMA, CHADEMA wanakikosi cha utekaji, upotezaji, uuuwaji kinachongozwa kwa namna ambayo katibu mkuu hajui. Kikosi hicho kilishiriki kifo cha Cha Wangwe.Ben Sanane
Hujaona kitu halafu unamuita pumbavu?!Aibu naona mimi.
Kijana hovyooo kabisa, hakuna hata thumni ya point katika maongezi yake bali pumba chuya pumba na chuya
Pumbavu
Lucas mwashambwa popote uliopo, eti huyu jamaa ndiyo wewe?Noma sana , unaweza kukuta huyo jamaa ndio Lukas Mwashambwa
Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science.
Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
View attachment 2637216
Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science.
Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
View attachment 2637216
Nani anaye fuatilia tundulisuu. Mm nilishampuuuza tangu akiwa bungeniii.Bila shaka hii ndiyo product ya Dodoma University faculty ya political Science.
Mtazameni na msikilizeni mwana CCM tegemewa akijibu hoja za CHADEMA hususani Tundu Lissu.
View attachment 2637216
Nani anaye fuatilia tundulisuu. Mm nilishampuuuza tangu akiwa bungeniii.