Uchaguzi 2020 Video: CCM yaanza kutumia maudhui ya kanisa kuomba kura, wadau wasema ni kejeli kwa Mungu

Huwezi kusema "Mungu oyee". That simply is a blasphemy. Kama kuna sababu ya kumtukuza Mungu, basi unaweza kuwaambia watu wapige makofi na vigelegele kwa Mungu. Lakini siyo "Mungu oyeee"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…