Uchaguzi 2020 Video: CCM yaanza kutumia maudhui ya kanisa kuomba kura, wadau wasema ni kejeli kwa Mungu

Uchaguzi 2020 Video: CCM yaanza kutumia maudhui ya kanisa kuomba kura, wadau wasema ni kejeli kwa Mungu

Kupinga ni kuipiga na chini CCM na kuikataa,kusema sijui hukubaliani arafu unaenda kuwatiria kura ya ndio hapo taree 28/10 aroo wewe utakuwa mutu wa ajabu kabisa ni jihesabu ni munafiki tu,kama humujui munafiki.
 
Lugola alisema msela ameshakua 'yesu' watu wakabisha.

Ona sasa wameanza 'kumuabudu'.

Huyo boya anayeimbisha hapo atakuja kujidharau sana.
 
Mnahangaika na sauti zilizo teuliwa. Kila mwanadamu ameteuliwa na Mwenyezi Mungu kwa sababu/kazi maalumu nyinyi wengine mbegu zenu hazikupata rutuba kwa sababu mliangukia kwenye mawe, na wengine mliangukia kwenye maji. Wacheni walioangukia kwenye rutuba wafanye kazi zao ingawa hampendezwi.
 
Lakini sasa na wewe mkuu, Kwa heshima yako yote hapa, umeamua kuanza kuivunja Kwa maksudi siyo?

Yaani unataka tuanze kukudharu siyo?

Unashindwa tu kuielewa hiyo kwamba ni computer zimechezeshwa hapo?
Hakuna computer hapa acha kudanganya watu
 
Back
Top Bottom