Elections 2010 Video Chache za Mdahalo wa Dr. Slaa ITV

Elections 2010 Video Chache za Mdahalo wa Dr. Slaa ITV

Wanakijiji wenzangu fungueni hizi ambazo pia mnaweza kuzidownload na kuwa nazo kwenye Flash au Audiao Cd

Jamani ndungu zangu fungueni hizi link halafu ukitaka kusikiliza au ku-down ni wewe mwenyewe tuu:- ukishazifungua, tizama kushoto kuna maneno "Download" bofya hiyo ya "zip" ujidobloadie na kuhizfandi kwenye Flash au Audio CD.Link 1: www.archive.org/details/Dk.Slaa23.10.2010_526
Link 2:www.archive.org/details/Dk.Slaa23.10.2010
 
Kichuguu ninayo audio karibu yote.. nitawapandishia kesho....
Tafadhali Mkuu.ufanye hivyo.Mtu kama mimi nahitaji ka kopi maana mtaa wangu wanaonyesha Video na ninaweza kumlipa mwenye ukumbi kuonyesha bure ili ujumbe ufike.
 
Wanajamii wenzangu:

Funguezi link hizi hapa chini muweze kupata madahalo mzima kwa kudownload na kuhifadhi kwenye flash yako au Audio CD.

Fungua linki hizi, kisha ukishazifungua, tangali upande wako wa kushoto kuna maneno "Download" bofya hiyo ya "zip" uji-downloadie na uhifadhi kwenye flash au Audio CD. www.archive.org/details/Dk.Slaa23.10.2010_526 www.archive.org/details/Dk.Slaa23.10.2010
Asante Mkuu nimedownload. Hata hivyo inasema, 'Sehemu ya Pili'. je kuna 'Sehemu ya kwanza'?
 
za Mdahalo wa Dr. Slaa

"Mdahalo" maana yake nini? Nilidhani ni lazima mdahalo ukwaanishe pinzani mbili na zaidi.

Huu ni mkutano wa mchungaji na wana kwaya, wakihutubiwa neno la uzima ambalo tayari walishalipokea. Maswali karibu yote yalianza na "Ndugu Rais Mtarajiwa, utafanya nini Ikulu..." Sasa kama umeshaamua huyu ndio unataka awe Rais, umekuja kumhoji wa nini?

Slaa anakubali kusaidiwa majibu na mratibu wa 'mdahalo' ambae ni choka mbaya, Slaa akiulizwa kitu mwanamke anawahi "swala la Mgombea Binafsi halimo kwenye ilani ya CHADEMA... swala la elimu limeshaongelewa." Kwa hiyo kwenye elimu Slaa akishasoma ilani ya Chama basi kamaliza, hakuna maswali! Na swala halimo kwenye ilani kwa hiyo tusiliongelee, kwa hiyo ningeuliza, je, bwana Slaa maadili yako yanaonekaje mbele ya shutuma za ugoni na mke wa mtu, utanambiaje, ugoni wa Slaa hauko kwenye Ilani ya Chama, usiliongelee!

Na Mwenyekiti wa Chama yuko mbele kakaa mkao wa picha, badala ya kumwacha mgombea wao mbele awe kivutio cha kati cha mkutano wao.

"Mdahalo" ulikaa kijinga jinga fulani.
 
"mdahalo" maana yake nini? Nilidhani ni lazima mdahalo ukwaanishe pinzani mbili na zaidi.

Huu ni mkutano wa mchungaji na wana kwaya, wakihutubiwa neno la uzima ambalo tayari walishalipokea. Maswali karibu yote yalianza na "ndugu rais mtarajiwa, utafanya nini ikulu..." sasa kama umeshaamua huyu ndio unataka awe rais, umekuja kumhoji wa nini?

Slaa anakubali kusaidiwa majibu na mratibu wa 'mdahalo' ambae ni choka mbaya, slaa akiulizwa kitu mwanamke anawahi "swala la mgombea binafsi halimo kwenye ilani ya chadema... Swala la elimu limeshaongelewa." kwa hiyo kwenye elimu slaa akishasoma ilani ya chama basi kamaliza, hakuna maswali! Na swala halimo kwenye ilani kwa hiyo tusiliongelee, kwa hiyo ningeuliza, je, bwana slaa maadili yako yanaonekaje mbele ya shutuma za ugoni na mke wa mtu, utanambiaje, ugoni wa slaa hauko kwenye ilani ya chama, usiliongelee!

Na mwenyekiti wa chama yuko mbele kakaa mkao wa picha, badala ya kumwacha mgombea wao mbele awe kivutio cha kati cha mkutano wao.

"mdahalo" ulikaa kijinga jinga fulani.

acha wivu kaka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom