Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 130
Mie pia sioni kitu. ""ukitaka kujua umaskini wa mtu tazama nyumba anayoishi"" hii ni nukuu ninayoipenda kutoka kwenye live ya Dr kutoka ITV jana jumamosi.Mkuu MKJJ leo si ndo kesho? Sioni ktu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie pia sioni kitu. ""ukitaka kujua umaskini wa mtu tazama nyumba anayoishi"" hii ni nukuu ninayoipenda kutoka kwenye live ya Dr kutoka ITV jana jumamosi.Mkuu MKJJ leo si ndo kesho? Sioni ktu.
Tafadhali Mkuu.ufanye hivyo.Mtu kama mimi nahitaji ka kopi maana mtaa wangu wanaonyesha Video na ninaweza kumlipa mwenye ukumbi kuonyesha bure ili ujumbe ufike.Kichuguu ninayo audio karibu yote.. nitawapandishia kesho....
Asante Mkuu nimedownload. Hata hivyo inasema, 'Sehemu ya Pili'. je kuna 'Sehemu ya kwanza'?Wanajamii wenzangu:
Funguezi link hizi hapa chini muweze kupata madahalo mzima kwa kudownload na kuhifadhi kwenye flash yako au Audio CD.
Fungua linki hizi, kisha ukishazifungua, tangali upande wako wa kushoto kuna maneno "Download" bofya hiyo ya "zip" uji-downloadie na uhifadhi kwenye flash au Audio CD. www.archive.org/details/Dk.Slaa23.10.2010_526 www.archive.org/details/Dk.Slaa23.10.2010
za Mdahalo wa Dr. Slaa
"mdahalo" maana yake nini? Nilidhani ni lazima mdahalo ukwaanishe pinzani mbili na zaidi.
Huu ni mkutano wa mchungaji na wana kwaya, wakihutubiwa neno la uzima ambalo tayari walishalipokea. Maswali karibu yote yalianza na "ndugu rais mtarajiwa, utafanya nini ikulu..." sasa kama umeshaamua huyu ndio unataka awe rais, umekuja kumhoji wa nini?
Slaa anakubali kusaidiwa majibu na mratibu wa 'mdahalo' ambae ni choka mbaya, slaa akiulizwa kitu mwanamke anawahi "swala la mgombea binafsi halimo kwenye ilani ya chadema... Swala la elimu limeshaongelewa." kwa hiyo kwenye elimu slaa akishasoma ilani ya chama basi kamaliza, hakuna maswali! Na swala halimo kwenye ilani kwa hiyo tusiliongelee, kwa hiyo ningeuliza, je, bwana slaa maadili yako yanaonekaje mbele ya shutuma za ugoni na mke wa mtu, utanambiaje, ugoni wa slaa hauko kwenye ilani ya chama, usiliongelee!
Na mwenyekiti wa chama yuko mbele kakaa mkao wa picha, badala ya kumwacha mgombea wao mbele awe kivutio cha kati cha mkutano wao.
"mdahalo" ulikaa kijinga jinga fulani.