Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Ndo.ujue baadhi ya watanzania walivyo wapumbavu ..maripoti yanakuja mnaibiwa mabilioni ..tuko kwenye msiba, ndugu mmoja huko ametekwa..badala tuhoji vitu vya msingi tunahoji upumbavu na zaidi baadhi ya mamburula yanapelekeshwa tu
Sasa hizo billion hata ukipiga kelele ndio utazirudisha, zaidi utatiwa ulemavu wa maisha uwatese ndugu zako kwa kujitia ujuaji
 
Sio ajabu sema mchungaji kula kondoo na video jamani ni aibu
Kondoo kama yule kwa jinsi alivyo mrembo mi sina la kumlaumu gwajima. Mtoto white Maria flani!!! Natafuna bila hiyana
 
Mdude the great nikututoa kwenye mjadala

Ataibuka kwajima na facts watu wataumbuka, let's wait...... a matter of time
Hichi kitu hata mimi nahisi hivyo,kuna watu wanachezesha akili za watanzania aisee.na jamaa washajua akili za watu wao ni kuzivuruga tu na vijimambo mambo.
 
Hazirudishiki na hata mimi siku naziiba sirudishi ila ntamheshimu yule anayezihoji kwa kutumia hoja
Na sio kukaa online kudiscuss video za utupu
Bladsht
Sasa hizo billion hata ukipiga kelele ndio utazirudisha, zaidi utatiwa ulemavu wa maisha uwatese ndugu zako kwa kujitia ujuaji
 
Kasauti ka wizi tuu. Utakuta hata mshedede ulikua haujasimama
😂😂😂 kwamba askofu alikuwa anapaka rangi upepo tu, style pendwa ile hata uwe mbishi kiasi gani lazma ulilie ukuni
 
Hazirudishiki na hata mimi siku naziiba sirudishi ila ntamheshimu yule anayezihoji kwa kutumia hoja
Na sio kukaa online kudiscuss video za utupu
Bladsht
Sasa kipi nafuu mkuu, relaxing ama marungu?
 
Sasa hizo video ziko wapi wee unaweka picha unatusaidia nini
 
"Baba Mtakatifu" yupi afufuaye wafu uchwara nakati hata Babu na Bibi Zake kashindwa kuwafufua[emoji57][emoji848]
 
Kama ni yeye amejirecord wanawarudisha nyuma sana watu kiimani. Ni ngumu sana kwa nyakati kumjua yupi ni mkweli ktk hawa wachungaji. Muumini imani yako tu ndio itakufikisha mwisho wa safari
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…