Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Chuma kama hiki huwez kukitafuna bila ushahidi wa picha na video....tena unafunga chumba kizima
#I STAND WITH GWAJIMA
#I STAND WITH GWAJIMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wangu umefutwa mimi Nilitaka kutoaUmeandika takataka,uliwezaje kuwa member JF? Rudi kajipange au wape wenzio wakuandikie
Nenda Instagram kwa Mange Kimambi ipoNaomba mwenye hiyo aweke naona kila media na groups but hawaweki
Mkuu uzi wangu umefutwa nilipandisha videoJamaa yuko fiti kishenzi. Kuna video zake tatu zinatrend huko kwa the_originaleast.
Ati wanasema ghafla bin vuu Gwajima ameshamzidi Miriam Biriani kwenye udaku trends
Nenda kwa Mange Kimambi Instagram ipoMkuu weka na kavideo basi chap
Ntumie inbox nami niione sjaiona aiseNdio maana hawa watu wanaojiita manabii na mitume huwa nawaasa sana watu kutowaamini.hatujui unabii na utume wao utokako! Tuwe makini sana hata kuwekewa mikono nao kwani sio kila mikono ina baraka za Mungu mingine ni yule aliye kinyume na Mungu..
Katika jambo lililonishangaza na kustaajabisha ni kuhusu askofu gwajima
Kwangu ni:-
Mchungaji
Mwinjilisti
Askofu
Mlezi wa kiroho
Baba mtakatifu
Nabii
Yaani unapaswa uwe kioo cha jamii na mchunga kondoo mwema wa bwana...
Yesu wangu....sijawahi kuchanganyikiwa kiasi hiki kuhusu huyu gwajima!!!!ni leo
Umelidhalilisha kanisa
Jitafakari
Umedhalilisha walokole jitafakari
Umedhalilisha waumini wako
Umedhalilisha neno la mungu
Umedhalilisha kanisa
Wewe ni muhubiri wa kimataifa unayeaminiwa sana mpaka marekani utaweka wapi sura yako?
Jitafakari na ujiuzulu oooh lord nini hiki mchungaji????
Kristo wa nazareth am dying!!!mchungaji na video za utupu...dunia imeisha
Hiyo ni picha jaman. Acheni uzushi.
Video ninayo ina dk 1:36 mwenye kuhitaji anione ila nahis siyo yeye japo sura wamefanana
Teknolojia
Acha ungese, habari za uongo wakati clip imerekodiwa na baba askofu mwenyewe wakati akimwaga moto. Muongo utakuwa weweSeriously jamii forum management mtu kama huyu mkimfungia maisha kwa kueneza habari za uongo na upotoshaji mkubwa haswa wakati huu ukizingatia tuko kwenye msiba mkubwa wa kitaifa ..mtapoteza nini kwa mfano