Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Chuma kama hiki huwez kukitafuna bila ushahidi wa picha na video....tena unafunga chumba kizima

#I STAND WITH GWAJIMA
IMG-20190507-WA0036.jpeg
 
Jamaa yuko fiti kishenzi. Kuna video zake tatu zinatrend huko kwa the_originaleast.
Ati wanasema ghafla bin vuu Gwajima ameshamzidi Miriam Biriani kwenye udaku trends
Mkuu uzi wangu umefutwa nilipandisha video
 
kuna mda mwengine watu uzani sifa kupost lakini .kesho wa kwanza kusema maadili yana poromoka.kuna mda mwengine sheria za mitandao mnaziongeza wenyewe kwa kuto kujua
 
Ndio maana hawa watu wanaojiita manabii na mitume huwa nawaasa sana watu kutowaamini.hatujui unabii na utume wao utokako! Tuwe makini sana hata kuwekewa mikono nao kwani sio kila mikono ina baraka za Mungu mingine ni yule aliye kinyume na Mungu..
Ntumie inbox nami niione sjaiona aise
 
hapa kuna watoto alafu porn nazo mnaweka .kesho wakwanza kusema maadili yana poromoka.kuna mda mwengine sheria za mitandao mnaziongeza wenyewe kwa kuto kujua
Katika jambo lililonishangaza na kustaajabisha ni kuhusu askofu gwajima

Kwangu ni:-
Mchungaji
Mwinjilisti
Askofu
Mlezi wa kiroho
Baba mtakatifu
Nabii
Yaani unapaswa uwe kioo cha jamii na mchunga kondoo mwema wa bwana...

Yesu wangu....sijawahi kuchanganyikiwa kiasi hiki kuhusu huyu gwajima!!!!ni leo

Umelidhalilisha kanisa
Jitafakari
Umedhalilisha walokole jitafakari

Umedhalilisha waumini wako
Umedhalilisha neno la mungu

Umedhalilisha kanisa

Wewe ni muhubiri wa kimataifa unayeaminiwa sana mpaka marekani utaweka wapi sura yako?


Jitafakari na ujiuzulu oooh lord nini hiki mchungaji????

Kristo wa nazareth am dying!!!mchungaji na video za utupu...dunia imeisha
 
Aisee yule mwanamke mzuri jamani, ana rangi ya mtume kama aitavyo Lemutuz, ila askofu anajua kukatika, haaahaaa...wakati wanamwaga mzigo amenguruma kama simba..dah ! haki tena sisali kanisa lolote la mlokole, Flora Mbasha analia huko alipo, Mbasha anachekaaaaa...
 
Seriously jamii forum management mtu kama huyu mkimfungia maisha kwa kueneza habari za uongo na upotoshaji mkubwa haswa wakati huu ukizingatia tuko kwenye msiba mkubwa wa kitaifa ..mtapoteza nini kwa mfano
Acha ungese, habari za uongo wakati clip imerekodiwa na baba askofu mwenyewe wakati akimwaga moto. Muongo utakuwa wewe
 
Imi naamini video imeungwa.....
Tazama picture quality za video zote mbili
Utagundua kuna kamchezo kameendelea
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom