Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Seriously jamii forum management mtu kama huyu mkimfungia maisha kwa kueneza habari za uongo na upotoshaji mkubwa haswa wakati huu ukizingatia tuko kwenye msiba mkubwa wa kitaifa ..mtapoteza nini kwa mfano
Ni kweli kabisa.. And this time gwajima hakwepi
 
Inanikumbusha shutuma za yule mwanamke aliyezalishwa na Gwajima. Na alisema bila kupepesa kwamba Gwajima alitumia sehemu ya madhabauni kufanya maovu hayo. Na yule dada alikuwa tayari kupima DNA kuthibitisha shutuma hizo.

Pamoja na kwamba hizo shutuma zilikuwa kubwa sababu zilimhusu mtu mwenye jina kubwa, na mtu ambaye ni kiongozi wa dini. Lakini sababu zilishadadiwa n Makonda, ambaye alionekana ni mpinzani wake na ambaye alipigwa vita kwa kampeni ya kisiasa, basi wengi walimshambulia Makonda kwamba kapika story! Wakasahau kabisa shutuma za huyo dada na uzito wa kukubali kwake kupima DNA kuthibitisha hilo!

Kwangu mimi hili mojawapo ya madoa yaliyoonyesha sura halisi ya Gwajima na ambayo nitaendelea kuyakumbuka.
 
Aliungana na mashetani kuusaliti umma.. Sasa apambane mwenyewe wananchi tunalalamika yeye anaunga juhudi za jiwe..
 
ndio maana kila siku nawaambia watu kuweni atheists!

dini ni upumbavu!
Kwa mtazamo huu, hakuna kifaacho, maana kila sehemu kuna wanaofanya ujinga. Huwezi adhibu kundi kubwa kisa mmojawapo katika kundi hilo kafanya ujinga.... BY THE WAY MABORITI YENU KWA VILE HAYAJULIKANI, BASI MMEKAA KUNYOOSHEA VIBANZI VYA WENZENU
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…