WirelessBrain
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 980
- 1,350
Jamani kuji-selfe ukiwa bila shati ndio picha ya uchi? jamani tuwe fair!
Sidhani kama ni kweli, itakuwa anachafuliwa, labda ile ya kifua wazi. Lakini tujifunze jambo moja, si vizuri kushiriki kumchafua mtumishi wa Mungu, tusisahau ana watu wengi waliomuamini Kristo kupitia yeye. Mimi ni Mkatoliki lakini natambua nafasi ya mtumishi yeyote wa Mungu hata kama si dhehebu langu. Tukumbuke habari za Nuhu kwenye mwanzo 9: 20-23 jinsi alivyolewa hadi kubakia uchi, mtoto wake wa kwanza alivyomuona akaenda kuwaambia wenzake na mmoja wao ndio akaenda kumfunika. Yule mtoto aliyeshindwa kumsitiri baba yake alilaaniwa! ( hapo kwa dunia ya sasa tungemuona huyo mzee mdhambi kwa kunywa pombe! lakini maandiko yanaonesha laana ilikokwenda). Usishiriki kumchafua mchungaji Gwajima maana haitokuongezea au kupunguza kitu. Heshimu utu wake.
Mkuu huko insta tukachek kwa Nan?wewe ni mgeni wa technology, hakuna picha ya cctv camera iko hivyo mkuu, haipo hata moja...video kajirekod mwenyewe zimetapakaa insta nzima
Mkuu pole sana kama ulikuwa unaamini watu wa aina ya Gwajima. Hawa ni wapiga fedha za mazoba tu. Hana na hajawahi kuwa na heshima hata siku moja.Nchi yetu imekua ni maajabu tu kila siku hebu fikiria mtu kama gwajima na heshima zake anajirekodi picha za utupu videos za xx akifanya mapenzi na muumini wake hii si balaa jamani?
Nimeziangalia zile video zinasikitisha sana kuna nyingine kajirekodi pia akiwa kifua wazi hivi dunia inaelekea wapi jamani??
Yaani mpaka dk hii bado siamini huu uchafu katenda yeye dunia imeisha wana jf yaani mpaka gwajima?baada ya amber rutty,sasa ni gwajima omg!!!!!!
Video ipo live Mimi mwenyewe sikuamini nashangaa imekuwaje tena tena video ya dakika 1 na masekunde dahsa mbona haionyeshi akinnjunji zaidi ya kusimama kutegesha simu. wanadhalilisha tu mzee wa watu
Video ipo live dakika kama 1 hiviUsifikie hitimisho kabla ya kuona ushahidi. Kwenye mitandao ya kijamii kuna mambo mengi!
Nani ameshiriki kumchafua? Kajichafua mwenyewe Acha uzwazwa!QUOTE="MTAZAMO, post: 31366623, member: 37003"]
Sidhani kama ni kweli, itakuwa anachafuliwa, labda ile ya kifua wazi. Lakini tujifunze jambo moja, si vizuri kushiriki kumchafua mtumishi wa Mungu, tusisahau ana watu wengi waliomuamini Kristo kupitia yeye. Mimi ni Mkatoliki lakini natambua nafasi ya mtumishi yeyote wa Mungu hata kama si dhehebu langu. Tukumbuke habari za Nuhu kwenye mwanzo 9: 20-23 jinsi alivyolewa hadi kubakia uchi, mtoto wake wa kwanza alivyomuona akaenda kuwaambia wenzake na mmoja wao ndio akaenda kumfunika. Yule mtoto aliyeshindwa kumsitiri baba yake alilaaniwa! ( hapo kwa dunia ya sasa tungemuona huyo mzee mdhambi kwa kunywa pombe! lakini maandiko yanaonesha laana ilikokwenda). Usishiriki kumchafua mchungaji Gwajima maana haitokuongezea au kupunguza kitu. Heshimu utu wake.
MKUU MIMI VIDEO NINAYO ANASOKOTA KABISA NA ANAREKEBISHA CAMERA VIZURI AONEKANE,TENA VIDEO NDEFU HADI ANAKOJOA,SASA WEWE UNABISHA NINI,TUWEKANE PESA HAPA NIKUTUMIE?Nani ameshiriki kumchafua? Kajichafua mwenyewe Acha uzwazwa!
MKUU MIMI VIDEO NINAYO ANASOKOTA KABISA NA ANAREKEBISHA CAMERA VIZURI AONEKANE,TENA VIDEO NDEFU HADI ANAKOJOA,SASA WEWE UNABISHA NINI,TUWEKANE PESA HAPA NIKUTUMIE?[/QUOTE]Nani ameshiriki kumchafua? Kajichafua mwenyewe Acha uzwazwa!
Sasa mwenye akili kati ya Makonda na Gwajima amejulikana
Ukiona mtu anashabikia chadema ujue kichwani hamna kitu.
Au wewe ndo gwajima mwenyewe. Anaeneza habari za uongo na wakati baba mtumishi anakata viuno na kuwaliza watoto wa watu huko.Seriously jamii forum management mtu kama huyu mkimfungia maisha kwa kueneza habari za uongo na upotoshaji mkubwa haswa wakati huu ukizingatia tuko kwenye msiba mkubwa wa kitaifa ..mtapoteza nini kwa mfano
Sidhani kama ni kweli, itakuwa anachafuliwa, labda ile ya kifua wazi. Lakini tujifunze jambo moja, si vizuri kushiriki kumchafua mtumishi wa Mungu, tusisahau ana watu wengi waliomuamini Kristo kupitia yeye. Mimi ni Mkatoliki lakini natambua nafasi ya mtumishi yeyote wa Mungu hata kama si dhehebu langu. Tukumbuke habari za Nuhu kwenye mwanzo 9: 20-23 jinsi alivyolewa hadi kubakia uchi, mtoto wake wa kwanza alivyomuona akaenda kuwaambia wenzake na mmoja wao ndio akaenda kumfunika. Yule mtoto aliyeshindwa kumsitiri baba yake alilaaniwa! ( hapo kwa dunia ya sasa tungemuona huyo mzee mdhambi kwa kunywa pombe! lakini maandiko yanaonesha laana ilikokwenda). Usishiriki kumchafua mchungaji Gwajima maana haitokuongezea au kupunguza kitu. Heshimu utu wake.
MKUU MIMI VIDEO NINAYO ANASOKOTA KABISA NA ANAREKEBISHA CAMERA VIZURI AONEKANE,TENA VIDEO NDEFU HADI ANAKOJOA,SASA WEWE UNABISHA NINI,TUWEKANE PESA HAPA NIKUTUMIE?
Video ipo live Mimi mwenyewe sikuamini nashangaa imekuwaje tena tena video ya dakika 1 na masekunde dah