kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Nchi yetu imekua ni maajabu tu kila siku hebu fikiria mtu kama gwajima na heshima zake anajirekodi picha za utupu videos za xx akifanya mapenzi na muumini wake hii si balaa jamani?
Nimeziangalia zile video zinasikitisha sana kuna nyingine kajirekodi pia akiwa kifua wazi hivi dunia inaelekea wapi jamani??
Yaani mpaka dk hii bado siamini huu uchafu katenda yeye dunia imeisha wana jf yaani mpaka gwajima?baada ya amber rutty,sasa ni gwajima omg!!!!!!