Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
QUOTE="MTAZAMO, post: 31366623, member: 37003"]
Sidhani kama ni kweli, itakuwa anachafuliwa, labda ile ya kifua wazi. Lakini tujifunze jambo moja, si vizuri kushiriki kumchafua mtumishi wa Mungu, tusisahau ana watu wengi waliomuamini Kristo kupitia yeye. Mimi ni Mkatoliki lakini natambua nafasi ya mtumishi yeyote wa Mungu hata kama si dhehebu langu. Tukumbuke habari za Nuhu kwenye mwanzo 9: 20-23 jinsi alivyolewa hadi kubakia uchi, mtoto wake wa kwanza alivyomuona akaenda kuwaambia wenzake na mmoja wao ndio akaenda kumfunika. Yule mtoto aliyeshindwa kumsitiri baba yake alilaaniwa! ( hapo kwa dunia ya sasa tungemuona huyo mzee mdhambi kwa kunywa pombe! lakini maandiko yanaonesha laana ilikokwenda). Usishiriki kumchafua mchungaji Gwajima maana haitokuongezea au kupunguza kitu. Heshimu utu wake.
Nani ameshiriki kumchafua? Kajichafua mwenyewe Acha uzwazwa!
[/QUOTE]
uwenda amerekodiwa akiwa amewekewa mguu wa kuku kichwani🙄🙄maana ukiangalia ile video kuna muda anaziba kamera na mkono...anaweza kuwa blackmiled ,akachukuliwa video bila kupenda.Mungu amtie nguvu
 
Ila yawezekana pia huyu mtu anafanana sana na Gwajima hivyo katumiwa na watu kujirekodi ili kumchafua Gwajima maana ukiangalia kwa makini hiyo video utaona hata mdada hakuwa kwenye mood ya kutiana hata jamaa naye anaonekana kama ni igizo maana nijuavyo utamu wa mapenzi sidhani kama watu wanaweza kutulia hivyo yaani wanatiana kama watoto.!
Kuna siri nzito hapo sidhani kama kweli huyo ni Gwajima japo kweli sura inaonekana kama yeye
 
Hata mimi nilijua wamemtengeneza mtumishi wa Mungu. Kale kavideo kamemaliza yote. Yule dada nae jaambawazi sasa alikua anaguna nini wakati mwenzie anachukua video
Wote wameguna...afu yule dada sijui hakujua Kama gwajise Anachukua video. Very sad aiseee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom