Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Mbaya zaidi sijui kutuma video,,, mlioikosa mjisomee tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kapeace yeye yupo karibu yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaya zaidi sijui kutuma video,,, mlioikosa mjisomee tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kapeace yeye yupo karibu yako?
Nakuchomea kwenye DVD.Kweli bila connection hata video huipati akii, mpaka sahivi sijaiona tumeni basi nimuone mtumishi namimi jamanii
Yaani. Sijui hajafundwa yuleeeKondoo rangi ya kondoa, wese la kutosha , mtumishi akawa anajililia tu . Aibu sana,
Ila mkuu yule kondoo hajui kukata mayuno yupo kama gogo
Video imewaanshia mashetani watu wengi sana uzuri mchungaji kacheza kitakatifu kabisa hakuna kuona dudu wala mtifuanoNakuruhusu kuchepuka kwa leo tu bebe
Dooh, mtumishi yule alie? aki hayanaga komandooUnataka uione, mtumishi alijituma akawa analia yeye.. hahah bahati mbaya sijaichukua nilipoiona
Utanifaa sana Viatu, lini sasa nije kuipitia[emoji3]Nakuchomea kwenye DVD.
HahahYaani. Sijui hajafundwa yuleee
Nimekutumia eeh tumia na wenzio wanaoitaka.Naiomba mkuu
nakutumia pm njoo na bukuMwenye video naomba anitumie
Kutema wazungu wakati wewe mwafrika sio mchezoDooh, mtumishi yule alie? aki hayanaga komandoo
Pita kazini kwangu Ijumaa nitakuwa nimemaliza zote.Utanifaa sana Viatu, lini sasa nije kuipitia[emoji3]
Sawa ila tambua ni ngumu sana kumuaminisha nyani aliozoea ndizi kuwa asali ni tamu kuliko ndizi!Mkuu hiyo video sijaiona,nimeona akiwa yeye kifua wazi kisha picha,sasa mimi si kama wewe naenda extra mile,Tulia si kwamba nasema hiyo video ni ya kweli au uongo kwani sijaiona ila walioiona kuna maelezo wametoa kuonyesha ni fake nitayaleta.Lakini pia nitakupa scandal iliyomkuta kiongozi wa Iran taratibu utanielewa,hizo ni fani za watu tulia nitatoa maelezo wewe kama unayo na una akili timamu utaamua.
With technology anything is possible,be patient mkuu.Niko nasoma watu wamepokea
je,nitaleta walioiona wamesemaje kisha utatumia na akili zako kujua kama ni kweli au video editing.Lakini wakati unasubilia jua Gwajima hana akili ndogo ya kufanya hayo mambo na kujirekodi mwenyewe please note siko hapa kusema ni video ya kweli au ya uongo nataka watu wafikirie na si kufollow the crowd.