Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
View attachment 1091064

Kwa wale wafuatiliaji wanajua hii picha hapo juu ilivyoleta shida kimataifa lakini ilifanyiwa manipulation kutoka kwenye picha ya pili iliyoko katikati hapa chini.

View attachment 1091069


Kwa wale msio na macho pambaneni,juu ya mkono wa kiongozi wa Irani kuna kifungo katika background ya mtu aliyekuwepo walio edit walisahau kuondoa hiyo kitu,wakaweka picha ya mwanamke ikaonekana mkuu anambusu mwanamke kinyuma na sheria za nchi yake.
Watalaa wa photography analysis waligundua,ninachotaka kusema hapa hizo video zikiwa available ukweli utajulikana na amabo mmeziona msiwe wepesi wa kuconclude kwamba ni za kweli wakati uwezo wa kuverify hamna.Hapa nasema hivyo kwa maana mchungaji Gwajina najua kuna watu aliwaudhi na ni watu wakubwa hapa nchini na wengine wako south africa.
Niishie hapo Extrovert hii scandal unaikumbuka hapo juu?
Wazee wenye fani zao wakichunguza hiyi video watajua kama kuna mambo ya kubebanisha video moja juu ya nyingine kama ambavyo kwenye picha kuna mambo ya layers.
Watu wa uswazi kwa maana wasiojua haya mambo ya technologia acha waamini lakini hapa JF we go the extra mile.
Video yenyewe umeiona mkuu?
 
Naunga mkono hoja tuna kazi nyingi za kufanya na sio kujadili upuuzi
 
Watu mnaosema tuje PM mnatuchora mmaee nmeenda kwa watu kama saba hivi kila mtu anakausha..yani hata hiyo video kuipata inahitaji mtu uwe na connections eti.
Tumia Id ya kike chief kuipata tofauti na hapo utasota sana, tangia asubuhi naitafuta bila mafanikio mijamaa ukiitumia Pm inakausha kama vile haikuoni vile, nimeamua niisubirie kule Xvideos niinyakue bila urasimu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom