Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Video chafu ya Baba Askofu Josephat Gwajima Yavuja...

Status
Not open for further replies.
Hahahaaaaa hata kama ni kweli what do you get? Unahisi kanisa lake litapotea? Atapoteza mali zake?

Daudi alizini na mke wa mtu na akamuua Uria mwanye mke na alisamehewa.

Suleimani na hekima zake alioa wake 700 na michepuko 300 na bado Mungu alikua nae.

Hapa ni wivu wenu tu wabongo
Wewe uko kundi la wapokea sadaka wa Gwajima. Hana ujanja wowote mbele ya papuchi wacha kutulisha matango pori hapa. Umesikia alivyokuwa anaweweseka wakati wa ku... lakini? Halafu ukileta mambo ya photoshop hapa utawadanganya wajinga tu... Kwenye ile Clip ndefu wakati ana set ile kamera alijimulika usoni kabisa na anaonekana ni yeye.
 
Mimi ningependa kujua jina la yule mwigizaji mwenzake bint maridhawa yule
 
Mkuu niko nasoma comment za watu naomba unifuatilie kuna kitu nitaelezea baadaye,usiamini kila unacho ona,kunatechnologia ya ku edit video na picha sasa watanzania wengi hawajui nitaelezea,hata wewe nikipata picha yako naweza kukufanya ukawa utupu na mengine mengi kwa haraka walio wengi wataamini mpaka picha ifanyiwe uchunguzi ndiyo utajua ukweli.Usiwe mwepesi kukubali mi si mshirika wa Gwajima lakini niko nafuatilia hili jambo ili niujue ukweli.
sawa mkuu lakini amedhalilishwa sana
 
Usikwame mama njoo p.m tuyajenge sio kila mwanaume anajua maana ya sex. Wengi wanahisi kupakana jasho kwa kurukaruka kwa fujo ndio mwanamke anainjoy. Gwajima kapiga grown folks style, sex for soul!
Ya kiutu uzima sana.

Sasaa hapo tunatiana nyege bana
 
Mkuu soma post zangu kwq makini,issue ya sauti nimetoa kama mfano,mimi video chafu sijaiona ambacho nimekuwa naelezea ni technologia inaweza ikafanya kitu chochote hivyo zama hizi sio kama za kina Juma na Roza si kila unachoona unaamini hasa kwenye vitu recorded vinaweza kuwa manipulated.Nimetoa issue ya kiongozi wa Irani nikatolea mfano wa wasanii wenye uwezo wa kuiga sauti za watu,je wakitumia uwezo huo vibaya si itakuwa ni shida?
Sijasema ni yeye au siyo yeye kwani sijaipata video chafu ila walio iona kuna mambo wameandika wakionyesha ni fake sasa kama umeiona soma walichoandika na linganisha na ilivyo.
lakini kwa dunia ya sasa hata matifa kama Marekani wakipata video au audio ya mtu wanayemtafuta say the late Osama bin laden enzi zile huwa wanaverify uhalisi wa hiyo video,sasa yamkini niko naongea kwenye level za juu ambazo majority hamzielewi nami siwezi kuwalazimisha.Siko hapa kumtetea mhusika mimi naangalia ukweli na kuwafumbua watu wasichezewe kwa kmutumia technology.With technology mambo mengi yanawezekana.
Mkuu unajua picha zinatengenezwa na "pixels" picha mbili zilizounganishwa kwa software ila zilipigwa na kamera mbili tofauti inawezekana kuzijua kwani uwezo wa hizo kamera ni tofauti ukiwa na elimu na software za kufanya hivyo inawezekana.
Najaribu kuwaamusha waliolala,kwani mkuu magazeti ya udaku zile picha huwa wanafanya nini si wanziunga kisha watu wananunua kwa sababu ya heading kumbe hakuna kitu.Watu wana make money kwa kukosa elimu kwa watu.
Katika biblia Mungu anasema "Watu wangu wanaangamizwa kwa kusoma maarifa" maana yake yupo anayeweza kukuangamiza simply tu kwa sababu huna maarifa fulani.

Sasa wewe video hujaiona then unaandika paragraph yote hii kumtetea wakati uhakika are you for real mkuu? Sasa sisi tulioona tunakwambia ni yeye, kama wewe ni mshirika wa gwajima mjifunze kubeba aibu za mtumishi wenu period, huyo gwajima atengenezewe video amekua nani ? Mxieeew na uzinzi wenu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom