Video: CHAUMMA waimba wimbo wa CHADEMA mkutanoni Ubungo Plaza 'CHADEMA nitakulinda mpaka kufa'

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Wakuu

Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.

Your browser is not able to display this video.
 
Huo wimbo wa chama tuliimba mpaka mashuleni
 
Hata Mkodishe Mabangubangu yaliwe bure Anguko liko PALEPALE!!!!
 
Uzuri wa siasa za mwaka huu ni kila mtu anatafuta pa kushika. Plan zote zimepotea.
 
Wakuu

Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.

Yaani wameshindwa kuandaa wimbo wao wataweza kweli kutatua shida za watanzania. Waiache Ccm tu iendelee kutawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…