Wewe dogo umezaliwa lini? Huo wimbo wa siku nyingi Sana wa vijana wa CCM.
Kama umeusikia chadema kwa Mara ya Kwanza basi nakujulisha chadema wameiga vijana wa CCM na wakaweka neno chadema.
Unaimbwa hivi;
Naapa naahidi mbele ya chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufaa.!
Kama umeusikia chadema kwa Mara ya Kwanza basi nakujulisha chadema wameiga vijana wa CCM na wakaweka neno chadema.
Unaimbwa hivi;
Naapa naahidi mbele ya chama mapinduzi nitakulinda mpaka kufaa.!
Wakuu
Hawa G55 ni kama bado wapo CHADEMA tu, kwenye mkutano wa CHAUMMA wanaimba wimbo wa CHADEMA 'Naapa naahidi CHADEMA nitakulinda mpaka kufa' wamebadilisha jina la chama tu.