Video Clip: Wakili Madeleka kumshtaki RC Chalamila kwa kuhamasisha mauaji

Video Clip: Wakili Madeleka kumshtaki RC Chalamila kwa kuhamasisha mauaji

Sawa kabisa sheria ifanye kazi wanawagisha wasiojua nakudhoofisha matumizi ya mahakama. Wananchi wangejua hatuongozwi na mtu tunaoozwa na sheria wasingeogopa.
 
Safi sana Wakili Msomi Peter...inaweza saidia kuondoa huo UPUUZI wa kudhani kwamba RCs n DCs,wapo JUU ya sheria
 
Kwa hili NAMUUNGA MKONO CHALAMILA.

Tena nikiwa Raisi, K***make ngoja niishie hapa.

Mwizi, kibaka na jambazi NI KUUAWA TU.

Tatizo ni moja tu, tungekuwa tunawaua na MAFISADI PIA
 
Anatakiwa ashitakiwe haraka sana, kuwa na viongozi wapumbavu wa kiwango hichi ni laana kwa nchi,
 
Kwa hili NAMUUNGA MKONO CHALAMILA.

Tena nikiwa Raisi, K***make ngoja niishie hapa.

Mwizi, kibaka na jambazi NI KUUAWA TU.

Tatizo ni moja tu, tungekuwa tunawaua na MAFISADI PIA
Tatizo kubwa huwajui police.

Kuambiwa hivyo mzee ndo wamepewa rungu,wataua na kusingizia huo upuuzi kuwa ni majambazi au wezi.

Ndo maana kuna mahakama, if proven guilty ni sawa auliwe,ila sio police kufanya hayo mauaji.
 
Kwa hili NAMUUNGA MKONO CHALAMILA.

Tena nikiwa Raisi, K***make ngoja niishie hapa.

Mwizi, kibaka na jambazi NI KUUAWA TU.

Tatizo ni moja tu, tungekuwa tunawaua na MAFISADI PIA
Lazima tufuate utawala wa sheria. Ukiacha haya mambo yaendelee kama amavyosema hiyu HAYAWANI Chalamila then tutakuwa ni Jamhuri ya ndizi (Banana Republic)
 
Back
Top Bottom