mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Je, akipata shavu tena tufute video?
Usimwombee mwenzio njaa.
Japo nakubali jamaa vyeo alivyokuwa navyo vilikuwa vinampwerepeta.
anza wewe angalau hata tatuwana jf
Katika kuweka kumbu kumbu sawa watu wote wenye video za majigambo na tambo, hata screen short za Twitter, insta ili iwe funzo kwa watoto wetu kama sehemu ya history kwa vijana wenye tamaa waliozaliwa 1982.
Kule twitter amesema kuwa yeye hafanyi mambo kwa kukurupuka. Anajua anachofanya ana atarudi mara moja kwa nguvu hata kuliko ya zamani! Nitaiweka nikiwezashauri yenu
mtasababisha Baba amwinue juu tena
acha wafu wazikane wenyewe
Tanzania thamani ya msambwanda ni kubwa kuliko degree zote.Kule twitter amesema kuwa yeye hafanyi mambo kwa kukurupuka. Anajua anachofanya ana atarudi mara moja kwa nguvu hata kuliko ya zamani! Nitaiweka nikiweza
Yes watu wanahusudu sana msambwanda, sijui kuna nini mle!Tanzania thamani ya msambwanda ni kubwa kuliko degree zote.
Na hutakiwi kumchukia ila unatakiwa kuwa honest kuhusu utendeji wake ulivyokuwa. Wote tunaondika negative kuhusu yeye hatumchukii ila tunaona hafai uongozi. Alilewa madaraka to the maximum na mengi aliyokuwa anafanya ni ''maigizo'' ambayo Magufuli yalikuwa yanamvutia sana. Alikuwa amethubu kusimama mbele ya kadamnasi na kusema katika watu wanaokula raha duniani yeye ni namba moja. Anyways yule siyo kiongozi hata kidogoMakonda alipokuwa DC wakati wa JK
Aliiandaa kindondoni talent Search nakumbuka...
Pale ndo nilimuona 'hamna kitu'..
But still kuna vitu alikuja kufanya vilikuwa na manufaa na vingine vingetimia vingekuwa na faida kubwa..
Binafsi simchukii na wala simchukulii serious
Hata wale nyumbu wanaowaita akina mdee covid19 ipo siku watajuta sanaNa hutakiwi kumchukia ila unatakiwa kuwa honest kuhusu utendeji wake ulivyokuwa. Wote tunaondika negative kuhusu yeye hatumchukii ila tunaona hafai uongozi. Alilewa madaraka to the maximum na mengi aliyokuwa anafanya ni ''maigizo'' ambayo Magufuli yalikuwa yanamvutia sana. Alikuwa amethubu kusimama mbele ya kadamnasi na kusema katika watu wanaokula raha duniani yeye ni namba moja. Anyways yule siyo kiongozi hata kidogo
Mimi nilijua ni mtoto wa Sitta na MwakyembeJamaa nilijuaga ni mtoto wa Magufuli mwanzoni alitupa taabu sana.
Ni kweliHata wale nyumbu wanaowaita akina mdee covid19 ipo siku watajuta sana
Hao wataunga Juhudi soon kumfuata Mama. Negotiations zinaendeleaHata wale nyumbu wanaowaita akina mdee covid19 ipo siku watajuta sana