Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanakumbi.
CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina katika kambi ya Sde Teiman katika jangwa la Naqab, ambapo Israel inatekeleza uhalifu mkubwa dhidi ya wafungwa wa Kipalestina waliotekwa nyara kutoka Gaza.
Wafuasi wa Israel walikuwa wanasema Al Jazeera wanapotosha habari za Gaza, CNN naona wamechoka kuficha habari wameahamua kuonyesha unyama wa Israel dhidi ya Wapelestina, juzi waandishi wa CNN walizuuliwa kuingia Rafah, yote hayo Israel hawakutaka vyombo vya habari vione ugaidi wao.