Biashara ikiishakuwa na jina la au umiliki wa mtu mmoja haijalishi karithishwa ama laa, hio sio family business tena.Ndio hasa kama hizo pesa ama biashara nayofanya nimerithishwa .
Bilionea msuya alifundishwa biashara ya madini na baba yake na kisha alipewa mgodi na baba yake. Hakuuanzi sha yeye. Ni family business kama Mo Dewji vile