Aliyekua na Cash alishafariki, Cash imebaki kwa Mkewe ambaye alikua Mshtakiwa....!
Ndugu wa Marehemu Msuya hawana Pesa...!
Kuna familia unakuta Mzazi anawekeza kwa mtoto wake kama Marehemu Msuya, na ndugu wengine wanaomfatia wakakosa msaada sawa, kwa kigezo kwamba Kaka mkubwa akisaidika, atasaidia Wadogo zake, mwisho siku kinatokea kama kilichotokea....!!!
Mbaya zaidi mpaka Dada wa Kaka Mkubwa wa familia anapoteza Maisha kisa ni mdogo wa kike wa Kaka mkubwa Tajiri...!
Kaka mkubwa. Kaacha ukwasi kwa mke.... Maumivu yanakua mara 2 kwa familia ta Msuya.