MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Kama unaamini hakuna uchawi, mambo ni sayansi mbona unalilia yanga icheze juani? Huamini sayansi ya mpira?
Yaelekea biology ulipata F na hujui chochote kuhusu sayansi ya mwili wa binadamu.
Ndio maana hata Hujui kucheza mpira kwenye jua kunasababisha Heat Exhaustion kwa wachezaji wanaocheza muda huo
Mfano Ukiambiwa ukimbie kwenye jua vs ukimbie jua limezama.. wapi utachoka haraka?
Science yenyewe inasema heat exhaustion symptoms include feeling of fatigue and a high body temperature. Further symptoms are feeling weak,dizzy etc
Vilaza na matapeli ndio mnapenda sana imani za ushirikina na kuongelea uchawi uchawi