Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

Samahanini.
Kesi ya mauaji inamtafuta mtu aliyeua.

Umeambiwa ukamwue mtu Fulani na ukakubali kwa malipo maalum,
Na ukauwa kweli.
Hapo ni nani atakayeshtakiwa

Ni, hivi ni wewe au huyo mwajiri wako
 
sasa mali ni za mtu na mume wake,sasa dada mtu kafuata nini hapo,Inamaana hao wanawake hawajaolewa au?
 
Jela zimejengwa kwa ajili ya sisi kajamba nani na sio kwa wenye nazo..........

Magereza yote yamejaa wanyonge tu hali ya kuwa maboss wana makesi makubwa na wanashinda..........

Hata wakiua wanaambiwa hawakusudia.......ukikomaa utaambiwa wewe ndio umemchokoza tajiri......
Mnakumbuka Ukiwaona Ditopile alivyoua kwa kukusaidia mbele ya watu lakini akakutwa Hana hatia mpaka Mungu akaingilia Kati.
Davis Mosha na mkewe, mke amejikuta Hana mgao.
 
Hayo ndio matokeo ya ndoa za mume kutoka ukoo tajiri kuoa mke kutoka ukoo maskini.

Mali zinahamishwa kinguvu kutoka kwenye ukoo kwa mauaji ya kutisha.

Maskini hawanaga utu.

Wahindi na waarabu wanayajua haya vizuri sana. Ndio maana hawaoi hovyo hovyo

Imagine LuLu alifungwa jela kwenye kesi ya Kanumba kwa ushahidi wa mazingira. Hakuna aliyemuona lulu akiua. Wala hakukiri kama amemuua kanumba. Ila huyu mama msuya anaambiwa hajaua hakuna aliyemuona akiua
Upo sahihi
 
Kwa ambao tumekuwa tukifuatilia hii kesi from day one lazima tushtuke sana 😭😭😭Sasa nani alimuua Anathe jamani ?? Kwamba hao wameachiwa je muuaji kapatikana???
Ukweli wanaujua wao na Mungu anaona kama ni kweli ila damu ya mtu haipotei! Daah
 
Back
Top Bottom