Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

Muda mwingine tunaweza kulaumu na kukosoa sana ila Hiyo inaweza ikawa ni Karma kwa upande wa Familia ya Bilionea Msuya.....maana hatujui aliishi maisha ya namna gani aliumiza wangapi ? na hatujui pia alitenda wema kwa wangapi ?

Mfano, siku za mbeleni familia ya Mtu kama Mr Tall ( Rais wa nchi fulani ya kusadikika) ukiona watoto wake wanapitia Dhuluma au kunyanyasika yamkini kama hujui historia ya familia yao na matendo waliyoyatenda kwa wengne,

unaweza kudhani wanaonewa ila ukipitia Historia ya unyama uliofanywa na Labda Mzazi/wazazi wao unaweza kuhisi ni haki yao nao kupitia Matatizo kama walivyo wasababishia wengine.

Hitimisho : Kama familia imeonewa basi Karma inaweza ikaja kumludia huyo Mke wa Msuya mbeleni.
 
Utajiri ,mali ukiupatia kumagumashi
Mwisho wake kila kitu kitakuwa
Nyeusi nyeusi

Ova
 
Ndugu wa Marehem bilionea Msuya akilia mahakamani baada ya washtakiwa wa mauaji ya Aneth Msuya kuachia huru na Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam leo Februari 23.
Hawa wanaenda kumalizana mtaani tusubiri, itatafutwa tu Dawa ya kuua moyo Figo na kongosho MTU anaenda kutumbukiziwa itamla taratibu hadi anakata upepo
 
Back
Top Bottom