Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

Ndio hasa kama hizo pesa ama biashara nayofanya nimerithishwa .

Bilionea msuya alifundishwa biashara ya madini na baba yake na kisha alipewa mgodi na baba yake. Hakuuanzi sha yeye. Ni family business kama Mo Dewji vile
Biashara ikiishakuwa na jina la au umiliki wa mtu mmoja haijalishi karithishwa ama laa, hio sio family business tena.
 
Kweli RUSHWA ipo mahakamani jaman. Mimi nimesikitika kuona huyu mama kaachiwa huru. Najua sheria haina macho lakini kwa hili hapana. Huyo mama ni mafia kweli. Enyi majaji kifo kitawanyoosha.
Mi nilivyoconclude, hawa wote ni mamafia... mawifi walikuwa wanamzingua huyo maza (SMS za yule binti kwa huyu mama).. kumbe maza na yeye ni kichaa... akawajibu kimafia zaidi..
Hii ligi inaonekana itaendelea huko uraiani.
 
Wapare wameshindwa kwenda kuimaliza kesi milimani,,, au wamekutana wote konki
Hapo ni chuma kwa chuma, kuna jamaa aliingia anga zangu kwenda kwa fundi akaniambia jamaa yupo vizuri. Tumsomee gape akijisahau. Ndo nasikilizia baada ya miaka mitano hivi niruke nae.
 
kwakweli kama aliua na wakamwachia basi ajue kuwa hiyo dhambi itamtesa hadi kifo. kuua sio jambo jepesi hata kidogo
 
Wanadai marehemu billionaire Msuya alikuwa anampelekeaga moto mdogo wake aliyechinjwa marehemu Aneth.

tweenty4seven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…