Video: Dah! Wananchi wajipanga barabarani kulaki jeshi lao la Ukraine, walikua utumwani yaani

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Baada ya wanajeshi wa Urusi kuteka mji wa Kherson, wazalendo wa Ukraine wamepambana kwa kujitoa mhanga na kukomboa mji, jameni hamna raha kama hii vijana mnalakiwa na wazee wenu wakishangilia ujio wenu wa kishujaa, mnatamba barabarani kibabe kwenye ardhi yenu, bendera yenu, taifa lenu.....hii video kwanza mziki uliowekwa backround unatia mzuka fulani hivi.....

The footage comes days after a top Russian military official claimed that Ukrainians supported Russia's occupation in Ukraine.

Ukraine is pushing to retake territory from the Russians in the Kherson and Kharkiv regions. According to CNN, Ukrainian President Volodymyr Zelensky said Thursday that Ukrainian troops have taken back 1,000 square kilometers amid their efforts to regain territory in the regions.

CNN also reported that a spokesperson for Ukraine's military in the south of the country said on television Friday that troops have "advanced on the enemy's positions from two to tens of kilometers in various areas. But we are not yet announcing the names of settlements and the directions in which we are successful."

Umesema walikua utumwani?
Utumwa?
Kupingwa mijeredi, kufungwa minyororo, kupelekwa wasikokutaka na kufanywa wasivyovitaka km kubakwa, kutatuliwa Malinda, nk
 
Huyo poster ameharibu kuweka flag ya rainbow kwenye id yake
 
Umesema walikua utumwani?
Utumwa?
Kupingwa mijeredi, kufungwa minyororo, kupelekwa wasikokutaka na kufanywa wasivyovitaka km kubakwa, kutatuliwa Malinda, nk
Kwa hiyo wewe unachojua kwa akili yako yote kuwa utumwani ni kufungwa minyiroro,kubakwa,na kuliwa voda,kweli bongo tuna safar ndefu kwa aina hii ya wananchi
 
Wewe nipe true definition of slave and slavery acha kujitia wazimu au wewe ni ndie yule kijana wake unaeitwa mwenda?

Mwenda Wazimu
 
Ukibisha na hii we katibiwe
slavery, condition in which one human being was owned by another. A slave was considered by law as property, or chattel, and was deprived of most of the rights ordinarily held by free persons. slavery.
 
dunia imeshindwa kumaliza vita hii. wote wanamtazama putin akifanya mauaji
 
Baada ya wanajeshi wa Urusi kuteka mji wa Kherson, wazalendo wa Ukraine wamepambana kwa kujitoa mhanga na kukomboa mji, jameni hamna raha kama hii vijana mnalakiwa na wazee wenu wakishangilia ujio wenu wa kishujaa, mnatamba barabarani kibabe kwenye ardhi yenu, bendera yenu, taifa lenu.....hii video kwanza mziki uliowekwa backround unatia mzuka fulani hivi.....

The footage comes days after a top Russian military official claimed that Ukrainians supported Russia's occupation in Ukraine.

Ukraine is pushing to retake territory from the Russians in the Kherson and Kharkiv regions. According to CNN, Ukrainian President Volodymyr Zelensky said Thursday that Ukrainian troops have taken back 1,000 square kilometers amid their efforts to regain territory in the regions.

CNN also reported that a spokesperson for Ukraine's military in the south of the country said on television Friday that troops have "advanced on the enemy's positions from two to tens of kilometers in various areas. But we are not yet announcing the names of settlements and the directions in which we are successful."

Winter’s coming, and winter’s going to be hard on the battlefield in Ukraine. We know that the size of the Ukrainian army is now roughly three times as big as what it was last winter,” Stoltenberg added.NATO secretary general
 
Hao Warusi wamekatiwa supply line, hiyo winter itawatafuna sana, bora wakimbie mapema.
 
Back
Top Bottom