Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
- Thread starter
-
- #41
Umeanza kusema hautapigana na bingwa mpaka uwe number 1 contender. Nimekupa mifano miwili ya mabingwa waliopigana na boxers ambao hawakua number 1 contender umekana ulichokiongea.Issue ya Wilder nimejibu hapo juu.
1. Mkuu unaelewa maana ya #1 contender?
2. Na umesoma ukaelewa anavopatikana?
3. Mtu kutokuwa #1 contender hakumnyimi kupewa mechi na champion akiomba (optional) yaani kwa mapenzi ya bingwa mwenyewe kwa hiyo akikataa sio issue pia sheria haimbani bingwa.
4. Kukataa kupigana na mtu mwenye sifa ya #1 contender kunakuvua ubingwa wako.
Sasa hao unaowataja kuogopwa na Tyson wakati hawakuwa na sifa ya #1 contender ni kina nani? Inawezekana baadae walikuja kuwa bora lakini kipindi hicho walikuwa average boxers.
Kugoma kupigana na number 1 contender kunakuvua ubingwa? Yes and no. Haiko hivyo direct kama ulivyoandika. Mfano sasa hivi baada ya Tyson Fury kumpiga Wilder anatakiwa kumface AJ lakini mkataba unasema title shot anagewa Wilder ama la amlipe. Umeelewa sijui hapa?
Hoja zako za namba 1 & 2 nilishakujibu. Mzee mimi ninaijua boxing yaani wewe ruka ruka ila kwa hiyo ishu huna cha kunieleza. Tafuta kipya.
Kwanini unang'ang'ania nikutajie boxer aliyekimbiwa na Tyson wakati nimekutajia kua George Foreman? Kwa hiyo Foreman ni average? Hivi upo serious boss?
Hall of Famer hupigiwa kura. Na hupigiwa na hall of famer wenzake. Umeelewa hapa? HUPIGIWA KURA NA HALL OF FAMER WENZAKE. Sasa kama wewe ni kitumbua HOF wanajua wewe ni kitumbua unadhani utapigiwa kura?
So Wilder yupo sahihi. Na ninarudia tena Tyson alimkimbia Foreman. Tyson ni kunguru. Tyson ni overrated.