Video: Deontay Wilder Akisema Nilichosema Juu Ya Mike Tyson

Video: Deontay Wilder Akisema Nilichosema Juu Ya Mike Tyson

Unamtizama Wilder kisha unanote huyu ni fighter. Hana time na skills, techs au showboating. He just knocks you out.

Kukosa techs ndiyo kumemfanya apigwe na Tyson Fury
Hii comment yako imenifanya niamini,unaongea kishabiki.
 
Kuna wachache hawaamini Pele alikuwa bora kama ilivyo kwa Wilder na wewe juu ya Tyson. Mawazo yenu hayaondoi maoni ya wengi kuwa Tyson alikuwa namba chafu
 
Mi naona ni charity event tu ambayo inataka kutuongezea ubishi. Kuna page moja inasema Tyson Fury kapelekewa ofa ya kuzipanga na Mike na amekubali
Thread Closed.
 
Attachments

  • Screenshot_20200516-095716.png
    Screenshot_20200516-095716.png
    322.9 KB · Views: 3
Ipange unavyoona wewe sahihi, ruksa kuchomoa na kuongeza wale unaoona wana stahiki.
1: Muhammad Ali
2: Joe Louis
3: Rocky Marciano
4:Jack Johnson
5: Vitali & Wladmir Klitschko
6: Tony Bellew
7: Alexis Arguello
8: Oscar De La Hoya
9: Sugar Ray
10: Marvin Hagler
 
1: Muhammad Ali
2: Joe Louis
3: Rocky Marciano
4:Jack Johnson
5: Vitali & Wladmir Klitschko
6: Tony Bellew
7: Alexis Arguello
8: Oscar De La Hoya
9: Sugar Ray
10: Marvin Hagler

Umeona sasa [emoji13], kila mtu na mtazamo wake, kila mtu ataendelea kuabaki upande wake aidha kwa mapenzi au kwa kile anachokiamini.

So aliyeweka list tyson yupo namba 5 usimshangae pia ni maoni yake.
 
Na hilo ni tatizo kuu la boxing. At any given moment utakuta kuna mabingwa zaidi ya 5 na wote wanakua undisputed.

Sasa hiyo siyo kesi, kesi ni unapodanganya kwenye CV na bado ukapata kazi.
 
Haya ni maoni ya kila mmoja kama mimi nitakapoambiwa nimchukue messi na hazard nitamchagua hazard
 
Mike tyson anatafuta kufa,,,tyson furry ni bondia mzuri sana na anajua kukwepa. Imagine mike tyson kwa umri wake wa kupigana asingekubali kukutana na furry. Nyie ongeeni yote ila kwa Furry mwacheni kabisa, jamaa anajua.
Naona njaa tu hapa na watu wanataka kuchukua mpunga ingekuwa hawa ma tyson wapo katika ubora wao wote ingekuwa sawa but mike kesha jiishia itakuwa ajabu lingine la dunia limeongezeka kama ataweza kushinda fury
 
Maskini....kumbe hufahamu ngumi. Evander was a threat to mike tyson kitambo sana.mike tyson alijengwa kwa kupewa mabondia mchekea na wengine walikuwa wakihongwa na don king au kutishiwa wauze game kumpaisha mike tyson

Unafaham umri wa evander na tyson?nani alikuwa mkubwa?tyson alikuwa na weakness...alikuwa na soft chin. Hakuwa na pumzi.evander alikuwa sugu...angalia mapambano ya evander na riddick bowe... Tyson hakuwa that much tough ktk kuhimili kipigo.na alipewa mapambano meng dhid ya journey men na wazee kumjenga zaidi.

Baada ya kutoka jela Tyson alikuwa done
Ndo maana kina Holifield na kina Lennox wakala ujiko..

Alipokuwa peak hao kina Lenox hata no 2 walikuwa hawajafika..
Evander yuko cruiserweight..

Kwanza evander inasemekana alienda tumia
Madawa ku gain muscles hadi nusu afe na ugonjwa wa moyo..

Evander hata uzito wa heavy weight hakuwa nao akabakia cruiserweight kabla ya madawa
Ma steroids
 
Maskini....kumbe hufahamu ngumi. Evander was a threat to mike tyson kitambo sana.mike tyson alijengwa kwa kupewa mabondia mchekea na wengine walikuwa wakihongwa na don king au kutishiwa wauze game kumpaisha mike tyson

Unafaham umri wa evander na tyson?nani alikuwa mkubwa?tyson alikuwa na weakness...alikuwa na soft chin. Hakuwa na pumzi.evander alikuwa sugu...angalia mapambano ya evander na riddick bowe... Tyson hakuwa that much tough ktk kuhimili kipigo.na alipewa mapambano meng dhid ya journey men na wazee kumjenga zaidi.

We ndo hujui ngumi kabisa
Tyson alikuwa bingwa wa dunia undisputed
Evander alikuwa bingwa wa cruiserweight.
Nenda uka Google miaka ambayo evander alikuwa bingwa IBF cruiserweight..

Evander akaenda fanya HGH procedure kuongeza uzito aje heavyweight na aongeze muscles.. procedure ikamletea matatizo ya Moto baadae ..ikabidi afanyiwe operations ya moyo...

Evander ni fluke...na ana bahati aliekutana na Tyson wakati Tyson keshaisha
 
Umeshika maneno mawili undisputed na cruiserweight. Hayo ndo naona unayarudia rudia nadhani hufahamu hata maana yake.sorry kama nmekukwaza. Evender alipigana na Mike Tyson wote wakiwa ni heavyweights. So suala la kuongeza uzito lipo kwa mabondia wengi pindi wanapotaka kupanda uzito. Na Evander ali train sana angetumia madawa ambayo si sahihi asingeruhusiwa lets say steroids. So kwa kigezo hicho Tyson pia alipaswa awe mzuri zaid coz alipigana ktk uzito aliouzoea. Ni sawa na team toka ligi daraja la kwanza kupanda kuja pambana na Yanga ambayo ipo Ligi Kuu muda mrefu.

Tyson alikuwa weak anapopambana na mtu asiyemwogopa.tyson hakuwa na punzi rounds zinavyozidi kwenda ana panic na kuchoka. Evander ashawahi mpiga Tyson hata mazoezini. So alikuwa anamfaham. The man hakuwa na hard chin ndo maana alikuwa anataka amalize pambano mapema.

We ndo hujui ngumi kabisa
Tyson alikuwa bingwa wa dunia undisputed
Evander alikuwa bingwa wa cruiserweight.
Nenda uka Google miaka ambayo evander alikuwa bingwa IBF cruiserweight..

Evander akaenda fanya HGH procedure kuongeza uzito aje heavyweight na aongeze muscles.. procedure ikamletea matatizo ya Moto baadae ..ikabidi afanyiwe operations ya moyo...

Evander ni fluke...na ana bahati aliekutana na Tyson wakati Tyson keshaisha
 
Umeshika maneno mawili tu.

Undisputed na cruiser weight. Hayo ndo unatafuta kila sehemu uyaweke uonekane unajua kitu....😁😁😁😁

Back
Top Bottom