Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boxing najua ila wewe hukunielewa.
Nilisema.
Boxer ambaye amempiga Tyson, mfano Evander.
Walivyorudiana Tyson alishinda?
Siyo kama hiyo mifano uliyotoa ambao hawakumpiga Tyson tangu fight one.
Baada ya kutoka jela Tyson alikuwa doneBoxing najua ila wewe hukunielewa.
Nilisema.
Boxer ambaye amempiga Tyson, mfano Evander.
Walivyorudiana Tyson alishinda?
Siyo kama hiyo mifano uliyotoa ambao hawakumpiga Tyson tangu fight one.
Evander Mzee wa ma steroidsHiyooo Wilder kelelee tupuu, kakuta zama hizi uzito wa juu hakuna mabondia mafundi, woote walishastaaf kina Tyson Mike, Lenox lewis, Tuaman, Evender wangekuwepo wangemtia uchizi huyuu kama si kumuua.... Kelele nyingiii hamna loloteeeee
Baba yake Tyson Fury ndiye alikuwa anachochea sana mwanaye apande ulingoni na Mike Tyson.
Kuna wakulungwa wametenga bilioni 46 za kumshawishi Mike arudi ulingoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila sheria yao mapambano yao hakuna kuvaa gloves.
Sijawahi kumsikia Valero
Ah..we jamaa kigeugeu kishenzi!Boxing najua ila wewe hukunielewa.
Nilisema.
Boxer ambaye amempiga Tyson, mfano Evander.
Walivyorudiana Tyson alishinda?
Siyo kama hiyo mifano uliyotoa ambao hawakumpiga Tyson tangu fight one.
Huyu ni hatari. Kwa rekodi hiyoNi bondia aliyepigana uzito wa kati, alikuwa mvenezuela hatari sana. Wakati anafikisha mapambano 18 yote alikuwa ameshinda kwa Ko katika round ya kwanza,alikuwa na speed,power na passion ya boxing. Ila alikuwa na shida ya discpline sana, alikuwa mkorofi na mtukutu mno. Alimuua mkewe na baadaye kujisalimisha polisi ambapo baadae alijiua pia akiwa gerezani mwaka 2010 huku akiwa na record ya mapambano 27-0 na yote alishinda kwa Ko.
Wilder hana skills na techs tu lakini huwezi kusema ni kinabo. Hata Tyson Fury anasema ikatokea wanarudiana hatojisahau kwakua Wilder ni hatari.Hiyooo Wilder kelelee tupuu, kakuta zama hizi uzito wa juu hakuna mabondia mafundi, woote walishastaaf kina Tyson Mike, Lenox lewis, Tuaman, Evender wangekuwepo wangemtia uchizi huyuu kama si kumuua.... Kelele nyingiii hamna loloteeeee
Steroids hata jeshini Marekani zilitumiwa. Namna pekee steroids hauruhusiwi kutumia ni kama sheria za nchi au za mchezo husika zinakataza.Baada ya kutoka jela Tyson alikuwa done
Ndo maana kina Holifield na kina Lennox wakala ujiko..
Alipokuwa peak hao kina Lenox hata no 2 walikuwa hawajafika..
Evander yuko cruiserweight..
Kwanza evander inasemekana alienda tumia
Madawa ku gain muscles hadi nusu afe na ugonjwa wa moyo..
Evander hata uzito wa heavy weight hakuwa nao akabakia cruiserweight kabla ya madawa
Ma steroids
Hahaha ndo ukweli huo. Kama unapinga kamjibu Deontay Wilder au kama unaona mbali nijibu mimi nilichouliza.
Mcheki youtube alikuwa moto sana, walishaanza kupiga promo kumpambanisha na Pacquiao nadhani lingekuwa pambano la karne. Both boxers were at their prime, wote ni southpaw boxers wenye speed, power na fighting spirit.Huyu ni hatari. Kwa rekodi hiyo
Kweli!Na uzee wake ule wanataka kutuulia mkongwe wetu.
Na ndo maana nimesema kakuta zama hizi uzito wa juu hakuna mabondia mafundi, kakuta wenzie wasio na radha ya ngumi ndo maana anatamba...Wilder hana skills na techs tu lakini huwezi kusema ni kinabo. Hata Tyson Fury anasema ikatokea wanarudiana hatojisahau kwakua Wilder ni hatari.
Mi naona ni charity event tu ambayo inataka kutuongezea ubishi. Kuna page moja inasema Tyson Fury kapelekewa ofa ya kuzipanga na Mike na amekubali