Video: Dereva amgonga trafiki aliyemsimamisha na kukimbia

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Hii imetokea huko Kenya dereva huyo alisimamishwa na trafiki ambaye alikuwa na ishu naye binafsi kuhusu maji kwenye nyumba wanayokaa, jamaa alikuwa amelewa akammgonga na kusepa

Dereva huyo alishatakiwa kisha akaachiwa na sasa hamna kilichofanyika na trafiki huyo analalamika kweli na sasa amehamishwa kituyo

Ngoja ni ihuishe hii thread naona wengi hawajaiona.
 
Kumbe ni Kenya. Nilidhani wale wa Mwenge mkuu, walishanitwanga adhabu tatu zisizo na miguu wala kichwa. Toka siku hiyo ni maadui zangu.
 
Hii imetokea huko Kenya dereva huyo alisimamishwa na trafiki ambaye alikuwa na ishu naye binafsi kuhusu maji kwenye nyumba wanayokaa, jamaa alikuwa amelewa akammgonga na kusepa

Dereva huyo alishatakiwa kisha akaachiwa na sasa hamna kilichofanyika na trafiki huyo analalamika kweli na sasa amehamishwa kituyo

Kenya hawa ishiwi vituko
 
Yule trafiki wa Mwenge mnoko sana.Akikuona tu na gari basi anapanga ni kosa gani akubambike.Wagongwe tu kwa kweli maana si waelewa hata kidogo.Wao wanafikiri mtu kuwa na gari ni kwamba una kisima cha hela mahali unachota tu na kuzigawa ovyo barabarani.
 
Kuna muda huwa natamani kuwavaa moja kwa moja na semi zima ila nafsi inagoma haswa hawa matraffic wa kike wana husuda wivu roho mbaya kana kwamba hiyo kazi niliwaombea mimi yaani kosa la kuonywa tu unalazimishwa kulipa faini hiyo ni asubuhi ndiyo unaingia kazini
utaitoa wapi huwa wanakera sana
 
Wagongwe tuu maana unakuta wapo wamekaa tuu katikati ya road juzi nilimkosa mmoja
 
Hii imetokea huko Kenya dereva huyo alisimamishwa na trafiki ambaye alikuwa na ishu naye binafsi kuhusu maji kwenye nyumba wanayokaa, jamaa alikuwa amelewa akammgonga na kusepa

Dereva huyo alishatakiwa kisha akaachiwa na sasa hamna kilichofanyika na trafiki huyo analalamika kweli na sasa amehamishwa kituyo

Muoga angesimama tu
 
Kuna waking wanajianga wengi sku hizi
Unawakuta mwenge,bondeni,interchik,mbuyuni,kibo,namanga,bunju
 
Tunakoelekea kuna "trafiki" atagongwa na huku kwetu maana vyuma vimekaza halafu wao wanaendelea kututoa hizo 30,000 kama sadaka
 
Back
Top Bottom